Ndugu/wanachama/wakuu wa hapa idadi yao inakaribia laki mbili, na hapa MMU idadi ya wachangiaji ni wengi sana, sasa nashindwa kuelewa, kwanini michango katika huu uzi haijafikia hata elfu moja, wakati hali halisi ya maisha yetu mapenzi ndio yametawala, na katika maisha yetu ya kila siku, watu wamepitia/walipitia hali tofauti tofauti. Siamini kama kuna watu ambao tokea walipoanza mahusiano hawajawahi kukutana na vikwazo.
Lengu langu, nataka tuuendeleze huu uzi. Leteni vibao vinavyowakumbusha enzi zenu, iwe kwa raha au shida ikiwa imelenga katika mchepuo wa mapenzi