"wanatupeleka kama ng'ombe. Wapi pakwenda sasa? wapi nitakuwa wakati kama huu kesho?- tafsiri isiyo rasmi! Ngugi anajaribu kuelezea kwa ufupi lakin kwa HERUFI KUBWA, matatizo ya kiuongozi ya post- independence. Kuitafakari na kuangalia deeply, ndivyo tunavyofanywa sasa!