umeona eh! nina kitanzi nimekiweka nyumbani na nimewambia ndugu zangu atakayetaka kujiua kisa mapenzi anipigie simu nitamletea kitanzi ili ajiue.
Nalog off
Ahahhhahahaaaha
umeona eh! nina kitanzi nimekiweka nyumbani na nimewambia ndugu zangu atakayetaka kujiua kisa mapenzi anipigie simu nitamletea kitanzi ili ajiue.
Nalog off
Welcum
Hizi kogo hizi.... eti welcum... haya bwana... ngoja tumuone anavyo CUM.
itakuwa wameyabadilisha,yale ya zamani hayakuwa hivi waliimba hivi:Huu wimbo sijawahi kuusikiliza, kumbe ndo una maneno mazuri hivi?
Ngoja leo niusikilize.