This picture worth a thousand words

This picture worth a thousand words

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,729
Reaction score
19,466
kjhkjhnmnkjjhi.jpg
 
mfilisti umeielewaje make m inanishida kuitafakar msaada plz

sending using jamiiforum makinikia
 
Wamempiga picha ikaenda kuwanufaisha na kumuacha hivyo hivyo bila msaada wowote.
 
Tanzanian usually discuss problems, but they never face problems.
Wanakesha katika mijadala ya kujadili matatizo, lakini hawachukui hatua yoyote.
Badala ya kukabili tatizo halisi wanaliweka katika mazingira tofauti -kisisa zaidi.
Wamesahau matatizo yao wamebaki vijiweni na mitandaoni kudiscuss maisha ya maskini badala ya kutatua umaskini wa maskini.
Ni watu wasiozumgumzia maendeleo, ni watu wanaozumgumzia matatizo.
Ni watu wa kulalamika tu badala ya kuchukua hatua kumaliza tatizo.

Typically Tanzanian
 
mfilisti umeielewaje make m inanishida kuitafakar msaada plz

sending using jamiiforum makinikia
hii inamaanisha kua watu wengi wamekua wanafki wakionyeshwa kusikitishwa na picha kuliko uhalisia wenyewe
Leo hii utakuta picha nyingi mitandaoni za watu wenye matatizo na watu kujifanya kusikitishwa sana wakati tunapishana na hao watu kila siku bila kuonyesha kujali..
 
Tanzanian usually discuss problems, but they never face problems.
Wanakesha katika mijadala ya kujadili matatizo, lakini hawachukui hatua yoyote.
Badala ya kukabili tatizo halisi wanaliweka katika mazingira tofauti -kisisa zaidi.
Wamesahau matatizo yao wamebaki vijiweni na mitandaoni kudiscuss maisha ya maskini badala ya kutatua umaskini wa maskini.
Ni watu wasiozumgumzia maendeleo, ni watu wanaozumgumzia matatizo.
Ni watu wa kulalamika tu badala ya kuchukua hatua kumaliza tatizo.

Typically Tanzanian
Hizi ni tabia za kiccm kabisa yaani. Wanalalamika tuu wakati wao ndio wanaongoza serikali kwa miaka 50+ walaaniwe na wote wanaowatetea.
 
Hizi ni tabia za kiccm kabisa yaani. Wanalalamika tuu wakati wao ndio wanaongoza serikali kwa miaka 50+ walaaniwe na wote wanaowatetea.
Dah so sad hiv umesoma vizr mwenzako nn ameandika kwan hata maemtaja mtu katika mlengo flan wa kisiasa mbn vijana mnakua hampo serious mbn mnapenda kukurupuka mnajump into conclusion without discussion
Soma mwandish kamaanIsha ndio uanze kubwabwaja maana cha mana huna

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom