Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Achana na kumsikiliza huyo katibu mkuu wetu muimba mipasho. Yeye kila siku anaongea ongea in the name of kukemea wakati hao anao wakemea kila siku wanatekeleza mambo yao. Bashiru ameshadharaurika ndani ya chama, hana nguvu ya kumgusa mteuzi yeyote yule.Kathibitisha kwamba katibu mkuu alikuwa sahihi kusema wanatakiwa warudi vyuo wakasome namna ya kuongoza.
Cc Unforgetable
Atabaki anatoa lecture tu kwa wanachama.