Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,101
- 128,716
Wanabodi,
Siamini ninachokisikia hapa kwa kiongozi
Japo wote tunamasikio inawezekana sio wote tunaweza kusikiliza kitu tukasikia, hivyo kwa faida ya wengine naomba kusema kwa kifupi tuu mimi nilichosikia na kilicho nifanya nipandishe bandiko hili.
Kiongozi huyu anasema kibaka akiingia kwako hata kama ni kuiba chumvi, anakuwa ameomba mambo matatu.
1. Ameamua kuiba
2. Ameamua kuua
3. Ameamua kuuwawa
Amewaambia polisi wa mkoa wake kuwa kufuatia magereza kufurika, wayajibu maombi ya vibaka wote mkoani kwake kwa kuwapatia ombi lao la tatu yaani wauwawe!.
Kwa vile huyu ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, ndie mwakilishi wa rais, hapa amewapa polisi amri ya a license to kill vibaka wote!. Hivi ndivyo katiba aliapa kuitekeleza inavyosema?.
Kubwa kuliko ni akajitolea mfano yeye mwenyewe jinsi alivyomuua kibaka aliyevamia nyumbani kwake kwa kumpiga risasi mbili za kichwa na kufa papo hapo, na yeye ili kukamilisha furaha yake kwa kufungua bia moja kunywa kwa kujipongeza huku akiitazama maiti ya kibaka alimfumua kichwa!.
Hivi kweli Tanzania tumefikia hapa, kiongozi wa umma, senior public servant anatoa amri ya summarily killing ya kibaka aliyeiba chumvi?, na kujitapa yeye aliua kibaka na kujipongeza kwa kunywa bia!, na bado yuko ofisini!.
Kwa watu wanaojua kitu kinachoitwa psychoanalysis ya binaadamu, unaweza kumbaini a person of unsound mind kwa jinsi anavyoongea.
Kwa jinsi mtu huyu alivyoongelea hili tukio la kumuua kibaka na Kusherehekea kwa kunywa bia, I seriously doubt the soundness of his mind, this is a psychopath or a sadist!.
Naombeni sana msi question mamlaka yake ya uteuzi huwa inawaokotaga wapi watu kama hawa, kwa sababu huwa hakuna kipimo cha soundness of persons state of mind kabla ya uteuzi, hivyo nina amini kabisa alipoteuliwa, mteuzi hakujua his state of mind ya mteuliwa huyu!.
Kwa vile state of mind is not static, ni dynamic, inawezekana kabisa wakati anateuliwa he was OK, akaja kubadilika mbele ya safari, kama hata baada ya kuyasema haya ataachwa aendelee tuu kuwako ofisini, huu sasa ndio utakuwa uthibitisho kuwa hali hii inafahamika vyema kwa mamlaka yake ya uteuzi, hivyo mwacheni apige kazi.
Kitu nitakachowaomba wana jf wenzangu mfuatilie, ni kitu kinachoitwa Karma kinavyoshughulikia watu kama hawa, hivyo bandiko hili liwekeni pending kwenye kumbukumbu zenu, ili siku karma itakapo anza to take its toll kwa ma psychopath kama hawa kwa kumshungulikia, mkumbuke kuna watu humu tuliona na tukasema kabla.
Psychoanalysis ya ma psychopath, na ma sadist, kwa kadri anavyofanya mauaji ya ki sadist, na kuendelea ku practice sadism huku akiachwa bila kubainika, ndivyo anavyozidi kuwa blood thirsty hadi atafikia stage ya kuwa na insatiable blood thirsty appetite hivyo atakuja kupiga tukio kubwa zaidi na zaidi la ajabu, na ndipo watu watashituka na kubaini kuwa mtu huyu is a psychopath!.
It's only a matter of time.
Paskali