I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
advice...get out of the boyish world son!
Let me tell u something my friend, inawezekana ni kweli unamhitaji mwanamke wa kumuoa, siyo mbaya ila anza kwanza kuwa karibu naye, anza kumchunguza kama anaweza na anataka kuwa na wewe, kuwa very best friend to her na siku zote hakuna urafiki uliopitiliza kati ya me na fe, utashangaa she can fall in love with you. Timing ni muhimu sana mdogo wangu.
Dogo unapasua tu mayai viza, tiririkaaaaaaaa, ukimaliza hamia kinyakyusa.
Sasa Bbu hata ile mbinu tu ya kuzaliwa hawana?
Sasa si majanga hayo?
Wanzaidiwa hata na jogoo?
Huwa jogoo linamwambia mtetea "nitakununulia kiteeeeengee"!!!!!!!!!!!.........lol!!!!!!!!!
Tenga mwezi au wiki moja, hakikisha angalau ukose course work (waweza kumuomba mwl), kisha ni kupanda ngazi na kushuka kila mara, cafeteria, resting places, nk zunguka chuo kizima kwa week au mwezi mzima, kumbuka kuchukua namba hata kama ni 180 chukua tu. Ikishindikana zunguka faculty au department za Agriculture au eduche, uwe makini na hawa make wao hawataki kugongwa tu na kuachwa; wao wanapenda kupata mme/ mke wa jumla Tahadhari ukicheza na hawa utapata mtoto ukiwa bado ukiwa chuo. Afu mtoto wa kiume punguza kulalama yaani hivi visiketi vya siku hizi thinking capacity zao zilivyo ndogo hivi vinakushinda? {(Make wao ni kucha, midoli ndani, mabegi, heleni, wanja, vioo mikobani, kupika hawajui, mapenzi hawajui (ni kulala tu kama magogo)}. IKISHINDIKANA AZIMA UCHAWI WA MZUNGU (gari) hapa PERIOD.
Kila mtu ana approach yake kwa mwanamke, but i don't think kama ni njia nzuri ya kumpata demu hasa wa kutaka kuanzisha naye familia kwa kuonesha kuwa wewe ni matawi.
Kila mtu ana approach yake kwa mwanamke, but i don't think kama ni njia nzuri ya kumpata demu hasa wa kutaka kuanzisha naye familia kwa kuonesha kuwa wewe ni matawi.
Mzee mwenzangu, labda uwaambie hawa vijana kuwa mie babu yao..... mwanangu wa kwanza nimemzidi miaka 19. Labda wanaweza kukuelewa.....
Hahahaha ukiitwa baby na umri huu, ujue kuwa kuna ankara inakuhusu.
una mkosi mkubwa sana bwana mdogo,njoo huku nikuuzie maji ya kisimani bagamoyo utoe nuksi utapata hadi mke,JUST TRUST ME.I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
Hahahaha ukiitwa baby na umri huu, ujue kuwa kuna ankara inakuhusu.
Mie nimeamua kuwa mzee wa Kanisa....