Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Lord have mercy....
hahaha...an empty can ehhe? Haya bwana....i guess my time in law school was a waste!!
Yani kesi imehama kutoka a criminal matter na kuwa a civil procedure? embu tueleze imehamaje basi? Na parties wa hiyo kesi ni nani?
Kasome Laws101, au nenda ka-google (not a bad source for a beginner) maana sina muda wa kukueleza tofauti ya criminal proceedings na civil proceedings. How the different proceeds are brought to court, etc, etc...
Jaribu kuelewa hilo kabla ya kufungua bakuli lako hapa au omba uelimishwe!
I guess serikali imeamua kuwafungulia mashtaka kwa sababu inaichukia Chadema na hawakuvunja sheria yeyote. Ohh...by the way...usisahau kuwa serikali ni ccm which makes the argument even stronger!hahahaha
N.B: Ivi unajua kwa nini serikali inashtaki mtu?
Figure out hiyo sheria waliovunja halafu utuelezee wewe mwanasheria ni hipi hiwapo walipewa kibali ambacho kikawa cancelled dakika za mwisho. Then tell us why it is a criminal offence.
Toa sababu za serikali ku turn around kuvunja maandamano dakika za mwisho, preparation za chadema za maandamo (including financial loss iwapo wange cancel), the time consumed in arranging the rally and who caused the chaos in the first place, then tell us why it is a criminal case.
If anybody is to be made responsible would it be the guys who were given the permission or the authoritarian regime who think they can deprive people of their democracy.
Kaazi kweli kweli haya akina Nape wajiandae kwenda mahakamani kama wanasheria wa haki za ubinadamu wakiamua kuchukulia serious mauwaji yaliyofanywa na jeshi la serikali kwa kuwa serikali yote ni CCM (we kweli pathetic).
halafu nadhani we ni ligi sana mazee mi wacha nikupe ushindi for now i got better things to do kwa kweli.