Kwa wakaz Wa mbagala kuna mto unaitwa mznga hakuna mzaz apendae mtoto aende huko enz hiz ilikua kawaida sana kila mwaka watoto kufakwa maji ile huwez amin hakuna pia mzaz alokua anajua mwanawe anaenda huko na tulikua tunaenda na kukoga maji kipind MTO umefurika natukirud ni kimya kama hakijatokra kitu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.