This is Uganda!

1.President Museveni 75 years.

2.Vice president Ssekandi 77 years.

3. Prime minister Rugunda 71 years.

4.Deputy prime minister Moses Ali 79 years.

5.First deputy prime minister Kajura 84 years.

6.Second deputy prime minister Kivejinja 83 years.

This is Uganda. Mzee Baba!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wastani hapo wana umri wa miaka 78. Hapo hamna kitu watafanya wote wamepitwa na wakati
 
Umri namba tu mkuu, jikite kwenye kutekeleza sera
Umri Ni zaidi ya Namba Mkuu.

Umri unatoa determination ni kwa jinsi gani Mtu huyu anaweza.

1. KUBADILIKA, watu wenye umri mkubwa ni conservatives.

2. KUSHAURIKA: si rahisi mwenye Umri Mkubwa kupokea Ushauri. Nje ya kile anachokijua.

3. KUENDANA NA KASI INAYOHITAJIKA ILI KUOKOA GHARAMA:-
Umri Mkubwa unachochea maradhi ambapo anaweza kutumia muda mwingi kitandani akitibiwa badala ya kutekeleza Sera na majukumu mengine.

4. Majukumu makubwa kama Utawala yanahitaji Nguvu ili kuyafanikisha. Umri mkubwa hupelekea udhaifu wa Akili na Mwili.

Uganda ilikua na Age Limit ya kugombea Uraisi. Hata Museven anajua.
 
Duuuh!! Nafasi ya waziri mkuu imekaliwa na vizee vinne eti prime ministers, deputy prime minister,first deputy prime minister na second deputy prime minister aisee this is Africa uroho Wa madaraka umepitiliza aisee!!
Vitengo vimetengenezwa hapo ila kuwapa ulaji vikongwe wenzake.
 
Umri Ni zaidi ya Namba Mkuu.

Umri unatoa determination ni kwa jinsi gani Mtu huyu anaweza.

1. KUBADILIKA, watu wenye umri mkubwa ni conservatives.

2. KUSHAURIKA: si rahisi mwenye Umri Mkubwa kupokea Ushauri. Nje ya kile anachokijua.

3. KUENDANA NA KASI INAYOHITAJIKA ILI KUOKOA GHARAMA:-
Umri Mkubwa unachochea maradhi ambapo anaweza kutumia muda mwingi kitandani akitibiwa badala ya kutekeleza Sera na majukumu mengine.

4. Majukumu makubwa kama Utawala yanahitaji Nguvu ili kuyafanikisha. Umri mkubwa hupelekea udhaifu wa Akili na Mwili.

Uganda ilikua na Age Limit ya kugombea Uraisi. Hata Museven anajua.
Haya ni mawazo ya watu kuhusu umri, ata mimi nina mawazo yangu
1.Umri mkubwa unakuja na busara na utulivu mwingi
2. Umri mkubwa unakuja na uzoefu mkubwa

Katiba ni makubaliano ,,mnaweza kubaliana tena mkabadilisha , hivyo sioni hoja hapo kwenye kubadilisha ukomo wa kugombea ni jambo la kawaida , jikite kwenye utekelezaji sio umri
 
Wewe ndiye uliyepitwa na wakati maana waliyoyaona wao wewe hutokuja kuyaona kamwe na waliyoyafanya wewe hata robo tu hutoyafanya na uyaonayo wewe na wao wanayaona
Hamna kitu, vibabu vimezidi. Alikuwepo Vice mmoja hapa bongo baada ya Maonyesho fulani ya taifa alipelekewa visitors book kama 20 hivi aweke signature tu kwamba ametembelea kila banda, alishindwa hakupiga signature hata moja,alichoka hata kukaa tu pale mbele. Huu ni ulafi wa madaraka wa kiwango cha juu.
 
Back
Top Bottom