Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,285 Reaction score 61,267 Oct 25, 2014 #2 Labda kama una tumbo la kufungukaa I mean kuha.....a
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Oct 25, 2014 Thread starter #3 ​Kuna watu hawataki kumiss episodes.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,093 Oct 25, 2014 #4 Pesa huleta uchizi na kuchanganyikiwa hapo kama ni choo cha hotel uliza kulala siku moja ni sh ngapi
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Oct 25, 2014 #5 Hizi matajiri ndo zao na sijui na uswahilini ishaingea dizaini hiyo maana na safi sana
I instagramboy JF-Expert Member Joined Oct 16, 2014 Posts 1,521 Reaction score 346 Oct 25, 2014 #6 Kunya starehe bhana mi mwenyew nina mpango wa kuweka tv chooni
M makuna202 Senior Member Joined Jun 28, 2013 Posts 115 Reaction score 20 Oct 25, 2014 #7 Duuuh iyo kali.
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,683 Oct 25, 2014 #8 sioni shida yoyote, as long as aliyeiweka amependa iwe hivyo kila mtu ana kitu anapenda, wengine majungu, wengine TV, wengine ngono, wengine magari, wengine nyumba, wengine ibada nk as long as anafaidi, basi afaidi
sioni shida yoyote, as long as aliyeiweka amependa iwe hivyo kila mtu ana kitu anapenda, wengine majungu, wengine TV, wengine ngono, wengine magari, wengine nyumba, wengine ibada nk as long as anafaidi, basi afaidi
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Oct 26, 2014 #9 isije ikawa double purpose, kuangalia na kuangaliwa, te hee hee!
MZIMU JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 4,058 Reaction score 1,377 Oct 26, 2014 #10 Salamander said: Click to expand... Usishangae ukakuta hiki ni choo cha wafungwa Gerezani.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,093 Oct 26, 2014 #11 MZIMU said: Usishangae ukakuta hiki ni choo cha wafungwa Gerezani. Click to expand... MZIMU hata gereza liwe zurije, bado ukweli utabaki palepale kuwa wewe ni mfungwa na huna Uhuru...!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MZIMU said: Usishangae ukakuta hiki ni choo cha wafungwa Gerezani. Click to expand... MZIMU hata gereza liwe zurije, bado ukweli utabaki palepale kuwa wewe ni mfungwa na huna Uhuru...!!!
MZIMU JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 4,058 Reaction score 1,377 Oct 26, 2014 #12 mshana jr said: MZIMU hata gereza liwe zurije, bado ukweli utabaki palepale kuwa wewe ni mfungwa na huna Uhuru...!!! Click to expand... Ni kweli. Unakua kama ndege!
mshana jr said: MZIMU hata gereza liwe zurije, bado ukweli utabaki palepale kuwa wewe ni mfungwa na huna Uhuru...!!! Click to expand... Ni kweli. Unakua kama ndege!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,093 Oct 26, 2014 #13 MZIMU said: Ni kweli. Unakua kama ndege! Click to expand... Ndege tunduni au kama mbwa wa polisi