"This Is Too Much...!"

nyumbatatu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,076
939
Wanasemaga kuzaa sio kazi,
Kazi kumlea mwana!
IMG-20170115-WA0001.jpg
 
Naona mwalimu alimwonea kumpa x. Jibu lake ni kiboko alitakowa apewe nafasi ya kulisimamia jibu lake.
 
Mtoto kama huyo akitokea mtu akakupa mitetea miwili na jogoo moja la mbegu,mnafanya exchange
 
Sio malezi kwa sababu malezi hayawezisababisha mtotoakawa mbumbumbu
Usijidanganye!!!Kwanza sielewi nilivyosema malezi umeichukuliaje.,Malezi ya wazazi yanachangia kwa asilimia kubwa makuzi na tabia ya mtoto ya baadae hadi utu uzima wake na wamemuandaa vipi mtoto kabla hata hajafikia hatua ya kupokelewa na mwalimu naye achangie yake katika malezi na makuzi ya nguvu kazi ya TAIFA.
NB.KUMBUKA TAIFA KAMA TAIFA NDILO LENYE JUKUMU KUU LA KUWEKA MWELEKEO SAHIHI WA JAMII(kwa ujumla)KWA URITHI KIZAZI HADI KIZAZI.
 
Baba unakua unavuta bangi chumbani, moshi unawakuta mpaka watoto vyumbani mwao
 
Back
Top Bottom