Kama mnataka mali mtayapata shambani.Wanaume tumeumbwa, mateso, mateso kuhangaika.
Nimekusamehe bure, but watch your language. JF hatuonani, twatumia majina ya bandia, utakuja kutukana hata wazazi na ndugu zako, kuwa muungwana kuwa na hekimaWe unaandika utumbo gani tena hapa?
Mapaja ya mwanamme we lzm uyataje kila mara.
We bwabwa?
Ethiopia population ndio inawafanya wakimbie...Wanaonekana kama watu wa sri lanka au india vile kuna nchi uchumi wao sio tia maji saana lakini watu wao wanakimbia huku na kule hata ethiopia huwa nashangaa sana.
Mtoto wa mfalme Daudi; mfalme Suleman alisema ;Mmmh! Ama kweli fedha fedheha.
Ila kweli hata waindonesia wanakimbilia sana malaysia,taiwan,saudi arabia nk na safari yenyewe matter of death or death manake chances ya kufika salama inakuwaga very slim!Wanatumia mamilioni kukimbia na misukosuko ya kutosha yaani hapo mi ndo nachokaga kabisa na wengi wameishia kwenye majela ya nchi mbalimbali.Ethiopia population ndio inawafanya wakimbie...
Fursa zoooote zimedakwa na walioanza so wakimbizi wanaamini watatoboa maisha abroad wakiamnini fursa huko ziimejaa!
Mbaya saana mzee, wakati mwingine mafanikio huja baada ya kurisk!Ila kweli hata waindonesia wanakimbilia sana malaysia,taiwan,saudi arabia nk na safari yenyewe matter of death or death manake chances ya kufika salama inakuwaga very slim!Wanatumia mamilioni kukimbia na misukosuko ya kutosha yaani hapo mi ndo nachokaga kabisa na wengi wameishia kwenye majela ya nchi mbalimbali.