This is serious!

This is serious!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,989
Reaction score
5,068
Imefahamika asilimia kubwa ya wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 20 wameugua kisukari. Hii ni kutokana na majina wanayoitana kama MY SWEET, MY HONEY,MY SUGAR,MY CHOCOLATE etc. Mkinge mwenzi wako na hatari hiyo kwa kumuita MY PIRITON,MY KIROBA,MY CHLOROQUIN,MY BEER. Imetolewa na idara ya magonjwa yasiyo ya kuambukizwa!
 
poleni sana inamaana huyo babu wa samunge hajasaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom