This is my future house...Whats yours?

Mkuu mwenye hii ndoto, without disrespecting you or your dream, nitakukumbusha unionyeshe unapoishi baada ya miaka 30 toka sasa. Nausave huu uzi for future reference.

Najua inawezekana, mbona Ridhiwani ameweza? Tena ndani ya miaka 3 tu kawa multi bilionea huku akiwa hajafikisha hata miaka 35.

Tanzania Tanzaniaaaa

Nakupenda kwa moyo woteeee
 
Mimi niliweka kawimbo haka...Watu wengine bwana........watu wengine bwana........Watu wengine bwana..........Nikajua jamaa anaota akanitoke kwa swali ninachupa ngapi kichwani??
 
Mie hata sijui mkuu...wewe chukua hiyo picha halafu kawaonyeshe wachanganya rangi...watakuchanganyia hadi utapata hiyo rangi.

mkuu kiwanja chako kipo maeneo gani..? na ukubwa gani..! ukikomaa ndoto zitatimia..
 
Let your idea becomes a master, and the money becomes your slave then drive the money whatever you like...all the best!
 
Nyumba nzuri mkuu, du imenitamanisha nianze kufikiria kujenga tena!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…