Acha kupepesa maneno jibu ulichoulizwa...
Halafu ingekuwa vizuri hizi ndoto zako unaziwekea muda wa kutimia ili wadau wawezi kuthibitisha kama ni kweli!
Vinginevyo hutakuwa tofauti sana huyu jamaa hapa... View attachment 76510
Nilshawahi kusikia habari kama hizo,sina uhakika lakini waziziue kwa sababu zipi hasa!kwani wanahati miliki au wanatengeneza wao!ngoja nitafute mkwanja itajulikana tu juu kwa juu.