This is India. You are all welcome

Ukiwakuta TZ wana nyodo balaaa kumbe kwao hovyooooooooooo! Tanzania kuzuri Bwana asikudanganye mtu
 
indiaaaaaaaaaa kila kitu kipo cha utofauti...!
 
ungetuonesha na majumba ya mabillionea wao akina Anir na Mukesh Ambani ili tuone hiyo gap kati ya utajiri na umaskini uliokithiri huko India!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…