This is How Paul Kagame changed Rwanda

Mr What

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
778
1,000


Rwanda, in east-central Africa, is surrounded by the Democratic Republic of the Congo, Uganda, Tanzania, and Burundi. It is slightly smaller than Maryland. Steep mountains and deep valleys cover most of the country. Lake Kivu in the northwest, at an altitude of 4,829 ft (1,472 m), is the highest lake in Africa. Extending north of it are the Virunga Mountains, which include the volcano Karisimbi (14,187 ft; 4,324 m), Rwanda's highest point.Rwanda is striving to rebuild its economy, with coffee and tea production among its main exports. The World Bank has praised Rwanda's "remarkable development successes", which have helped reduce poverty and inequality.
But Paul Kagame, who became president in 2000 and has effectively run Rwanda since 1994, faces criticism at home and abroad over his political and human-rights record.

When Paul Kagame became Rwanda's president in 2000, he inherited a country that had been torn apart by genocide. To rebuild it, he had to rely on mostly uneducated guerrilla fighters and a handful of ill-trained cadres. Even the most optimistic of analysts doubted his chances.
But 19 years later, the country is stable, prosperous, unified and, in large part, reconciled. Social services, such as education, healthcare, housing and livestock are provided to the needy, with no distinction of ethnicity or region of origin - two forms of discrimination that characterised the governments leading up to the genocide against the Tutsi, which Kagame, as leader of the Rwandan Patriotic Front (RPF), brought to an end.
Here are some pictures below 👇
 

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
5,030
2,000
Watz wenzangu acheni wivu, rohombaya + chuki, ndio maana mnaogopa kuipa mamlaka kamili Zanzibar kutokana na roho zenu mbaya, mnaona mkiipa mamlaka kamili itakujakua aibu kwenu ndani yanmiaka michache
 

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
5,978
2,000
Watz wenzangu acheni wivu, rohombaya + chuki, ndio maana mnaogopa kuipa mamlaka kamili Zanzibar kutokana na roho zenu mbaya, mnaona mkiipa mamlaka kamili itakujakua aibu kwenu ndani yanmiaka michache
Kizazi cha sultan bana, kama unataka kuwa na nchi, Oman tayari ni nchi huru, nenda tuu kwenu. Mababu zenu walitoka huko wakaja kwetu, tuliwafukuza, kama na wewe unaona unaonewa nenda UK au Oman.
 

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
5,030
2,000
Jengeni na nyinyi kuwe zaidi ya kigali sio mnaponda maendeleo ya watu
Kizazi cha sultan bana, kama unataka kuwa na nchi, Oman tayari ni nchi huru, nenda tuu kwenu. Mababu zenu walitoka huko wakaja kwetu, tumewafukuza, kama na wewe unaona unaonewa nenda UK au Oman.
Mm ni mbongo but napenda kuongea ukweli japokua unauma
 

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
5,978
2,000
Jengeni na nyinyi kuwe zaidi ya kigali sio mnaponda maendeleo ya watu Mm ni mbongo but napenda kuongea ukweli japokua unauma
Kigali ina nini cha ajabu zaidi ya proaganda, mtu kauliza hapo juu, "nitajie mji mwingine Rwanda zaidi ya kigali?

Kumbuka asilimia kubwa ya wazanzibari wametoka Bara, hata Mzee wetu, Rais Mwinyi nae alitokea Kisarawe, na imekuwa hivyo kwa wazanzibari wengi kizazi na kizazi. Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar ni kutokana na kuwa sisi ni wamoja, walowezi wachache hawawezi kutugawa.
 

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
5,030
2,000
Tangayika yetu ilikua wapi? Kama sio majeshi kutoka huku kwetu kwenda kukalia mabavu visiwa vya Zanzibar basi mpaka leo tungeitwa Tanganyika, msipotoe historia za kweli mkajitungia historia na kuzipotosha, Rais wakwanza wa Zanzibar hakua mbongo wala hahusiani ata chembe, nani kakwambia asilimia kubwa ya wazanzibari wametoka bongo?? Zanzibar walikua wana kiti chao UN, Zanzibar walikua wa Passport yao au nikuletee uzi hapa, Wabongo tuache rohombaya
Kigali ina nini cha ajabu zaidi ya proaganda, mtu kauliza hapo juu, "nitajie mji mwingine Rwanda zaidi ya kigali?

Kumbuka asilimia kubwa ya wazanzibari wametoka Bara, hata Mzee wetu, Rais Mwinyi nae alitokea Kisarawe, na imekuwa hivyo kwa wazanzibari wengi kizazi na kizazi. Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar ni kutokana na kuwa sisi ni wamoja, walowezi wachache hawawezi kutugawa.
unnamed.jpg
 

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
26,039
2,000
Watz wenzangu acheni wivu, rohombaya + chuki, ndio maana mnaogopa kuipa mamlaka kamili Zanzibar kutokana na roho zenu mbaya, mnaona mkiipa mamlaka kamili itakujakua aibu kwenu ndani yanmiaka michache
Ulivyo mpuuzi
Watanzania gani hao na Zanzibar ipi!!
Kuna watanzania na Kuna wazanzibar eti
Mada ni Rwanda Hayo umeyatoa wapi
Tuletee picha yeyote nje ya Kigali tuone
 

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
5,030
2,000
Siku tukiipa uhuru Zanzibar ndio upinzani tz utashinda uchaguzi. Ukweli ndio huo ingawaje unauma
Ulivyo mpuuzi
Watanzania gani hao na Zanzibar ipi!!
Kuna watanzania na Kuna wazanzibar eti
Mada ni Rwanda Hayo umeyatoa wapi
Tuletee picha yeyote nje ya Kigali tuone
 

Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
1,174
2,000
Samahani hii mada ya Banyarwanda au Wazanzibara?

Nasubiri picha za miji mingine ya Rwanda, na sisi Wadanganyika tusiosafiri tutoe tongotongo tuoshe macho.

Everyday is Saturday.......................... :cool:
 

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
26,039
2,000
Siku tukiipa uhuru Zanzibar ndio upinzani tz utashinda uchaguzi. Ukweli ndio huo ingawaje unauma
Mada hapa ni Rwanda
Wewe umekazana na Mambo ya Zanzibar we jamaa upoje
Twende kwenye mada husika

Naomba ujibu hoja hii ya PNUDid you know when Nyerere Hydropower project is complete, Tanzania will be producing more electricity than Kenya, Rwanda, Uganda and Burundi Combined?

Did you know that when Tanzania SGR is complete, It will be the longest high speed railway in Africa?

Did you know that Tanzania is producing food every year than Kenya, Uganda,Rwanda, Burundi and south Sudan combined?

Did you know that in Tanzania, once all airports under construction in every region are complete, Tanzania will be first country in subsaharan region to have many airports with international standards.

Did you know that Tanzania has most advanced radars in East Africa?

Did you know that Tanzania has more access rate to electricity than any country in subsaharan countries?

Did you know that Tanzania has many varieties of minerals than any country in the world?

Did you know that Tanzania has biggest national natural parks in the world?

Did you know that Tanzania has many hospitals than Kenya,Rwanda and Burundi combined?

Did you know that the biggest clubs in Tanzania (Simba and Yanga) are paying more to their players than any club in east Africa?

Did you know that Tanzania has the most modern airport in East Africa?

Did you know that Tanzania is the only country in Africa where students from primary to secondary are not paying anything for their studies.

Did you know that Kariakoo to Posta is the biggest market area in Africa?

Source: PNU
 

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
26,039
2,000
Samahani hii mada ya Banyarwanda au Wazanzibara?

Nasubiri picha za miji mingine ya Rwanda, na sisi Wadanganyika tusiosafiri tutoe tongotongo tuoshe macho.

Everyday is Saturday.......................... :cool:
Hahaha shangaa nawewe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom