😀😀😀😀😀Wanaojiatambua naa kujua siasa nini wanakaa na kucheka pamoja njoo sasa humu uone misukule ya Lumumba Na ufipa inavyotukanana
Kada mwingine wa chadema, tena humu humu, tayari ameshaanza kumtilia shaka Lowassa; eti iweje anaongea na maccm. Sijui alitaka wazikunje?Kuna kada wa ccm kalalamika eti kwani Pombe anaongea na Lowasa.
Sijui alitaka wapigane?