asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
hapana bestii, huyu ni kibabu haswaa maana ana mtoto ambae nimemzd kama miaka 10 hivi kwa makadirio ya juu.
Haya besti, ila tutafutane tu.
hapana bestii, huyu ni kibabu haswaa maana ana mtoto ambae nimemzd kama miaka 10 hivi kwa makadirio ya juu.
Sikumbuki ni kipindi kipi cha TV nilisikia for the first time neno 'damaged goods' likitumika
but lilikuwa linatumika kwa wanasaikolojia kuwa refer wale wote ambao wana struggle kupata pertners hata kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao..
mfano watoto wanaotoka kwenye familia ambazo unakuta watoto watatu labda mama mmoja lakini baba tofauti.......na effects wanazokumbana nazo.....kimahusiano....
au msichana alie wahi kuwa 'raped' ikam affect kutopenda sex...
the list goes on.....na divorcees ....pia...hata kama ni mtu 'perfect'...ni labels ambazo some society...wanatumia..
Nielezee kwa undan hapo watoto wanaozaliwa na baba tofaut ktk mahusiano wanakumbana na effects gan pliiiz
Haya besti, ila tutafutane tu.
hahahaha!!!! ntakutumia namba yake.
kwani besti we unapatkana wapi?