Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Labda za zaidi ya 40 you mean 50s, mbona huyo ni dogo tu. Muulize ntuyabaliwekuna mwingne nae ana zaidi ya 40 anataka anioe mimi.! nimetoka nduki. yaani hata wanaume huwa wanakosa wa kuoa.
Labda za zaidi ya 40 you mean 50s, mbona huyo ni dogo tu. Muulize ntuyabaliwekuna mwingne nae ana zaidi ya 40 anataka anioe mimi.! nimetoka nduki. yaani hata wanaume huwa wanakosa wa kuoa.
kuna mwingne nae ana zaidi ya 40 anataka anioe mimi.! nimetoka nduki. yaani hata wanaume huwa wanakosa wa kuoa.
Either way sio neno zuri kumrefer binadamu ambaye Mungu akipoteza muda wake kumuumba na kisha kusit back na kutazama kuwa yote ni mema.
Si ndio cyber bullying hiyo? Kutumika both sex haipunguzi makali ya maneno.
Mtu kama Klyn lazima mzee amtume dereva amtongozee...unazani rahisi mzee kuimbishwa na katoto...
Weweeee, kwa mzee Yule unafikiri alipata shida ya kumtuma dreva.
Ile ni mualiko wa shopping Parii (nikiahidiwa na The Boss 5 years ago and l am still waiting) tu kila kitu kinaisha.
Mwenzangu na mie ndio inabidi umuhusishe na mchungaji ili Mungu ahusike kuweka msisitizo (sijui fear) ndio umvae lara 1
Hata iwe shopping wapi...lazima third part awe involved...hao wazee hawana vifua vya kujibiwa dry...ndio maaana wengi wao wana makuwadi wao special...
kuna wanamme wanatumia makuwadi na bado wanakubaliwa?
Bravo,good Poem.
kuna mwingne nae ana zaidi ya 40 anataka anioe mimi.! nimetoka nduki. yaani hata wanaume huwa wanakosa wa kuoa.
kuna mwingne nae ana zaidi ya 40 anataka anioe mimi.! nimetoka nduki. yaani hata wanaume huwa wanakosa wa kuoa.
Nipe mimi jamani....
mbona huyu mtoto mdogo wa kufunga pampazi?
Labda za zaidi ya 40 you mean 50s, mbona huyo ni dogo tu. Muulize ntuyabaliwe
Wanaume nao umri ukienda ni shiiider...ndio hao wanategemea madada zao wawatafutie wachumba...hawana privilege tena ya kuchagua....maana wa umri wao wamesha settle...sasa ku mingle na 'watoto' si rahisi ati... lazima uombe msaada...
Huyo mbona kijana tu.
Hebu tutafutane besti ,unahitaji counselling
khaaaaaa!!!! masihara hayo. mwanaume una miaka zaidi ya 40 na hujaoa basi una matatzo.