This is for Dadii....

Na mimi nimpate dadii wangu jamaani!! Anipende kuliko anavyompenda Mamii Kasie!!

Unawakutaga wapi eti jamani Mamii Kasie?!
 
Hahah...sasa si na mimi nataka nikakae hiyo mahali atakuelekeza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ili nikupate hapooo??? Naaahhh, wanakuita sukarii! Meno zangu zitaozaa!!

Looking for my dadiii
Kasie
 
Hahah hata si sukari ya kuweka kwa meno...ni ile ya kuweka kwa mirinda nyeusi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ili nikupate hapooo??? Naaahhh, wanakuita sukarii! Meno zangu zitaozaa!!

Looking for my dadiii
Kasie
 
Hahah hii si ya kukula au kulamba...ni ya kunogesha vingine tu vikuwe vitamu
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Na mimi nimpate dadii wangu jamaani!! Anipende kuliko anavyompenda Mamii Kasie!!

Unawakutaga wapi eti jamani Mamii Kasie?!

Sakayo, I quoted earlier... It's not easy to find find a good man... Siku ya kwanza kufahamiana na Dadii hakuwa na mbwembwe nyingi, aliniambia tuu Lo u.... Sisahauhaya maneno yake and I was so exited.

Siku ya kwanza kuonana nae, we shake hands, we hug, we talked a lot, we pinch each other and laughs a lot..... (His rhomboids)....

Siku ya kwanza najuana na Dadii..... Kiungo wetu Belinda anaweza kusema yote, malori ya kubinua mchanga yalikuwa mengi bin fujo na vurugu kwa wingi.

Kusema ukweli nimefahamiana na wengi ila Dadii ni mwisho wa yote. Mahaba yake yananipa nguvu ya kusema na kuandika kila lililo moyoni kwangu.

Nashindwa kukwambia wapi utampata Dadii wako, ila muhimu ni kuishi maisha yako ulivyo (be yourself) ili akikuona akuchukue jinsi ulivyo.

A lot of good men are out there but it's not easy to find them.

All the best.
 
Kasie Kasinde mi nasubiria jibu ya hii swali...[emoji16]

Pipo tayari (post no. 51), sogea sogea basi maeneo ili uwe rahisi kuwa founded na Sakayo vile anatafuta sukari yake..... Be her Dadii please....

Au nimpe location yako aku-find hapo ulipo?

Aahahahahaa waatuuu, hilo jibu ni ukweli wangu wote.
 
Thanks Mamii Kasie!!
 
Hahah...sasa si na mimi nataka nikakae hiyo mahali atakuelekeza

Yaani wewe pipo ina miakili, halafu hujivungi kujiongeza....

Pale mchana si nilikwambia wee ukanizimisha msuba wangu hivihivi...

Ona sasa ona..... Location kijiwe kinaitwa Pangs Mawe... Usikae mbali na hapo...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ili nikupate hapooo??? Naaahhh, wanakuita sukarii! Meno zangu zitaozaa!!

Looking for my dadiii
Kasie

Sakayo, do you want something sour and salty..!!???

You don't want sugar taste..!!?? Okay that's your choice...

Huna hamu ya kukaa kwenye tinted ya Nissan nyeupe weyee...!!??

Ila ujue hata ukimpata hatokuwa Dadii... Utajikuta tuu umemuita jina jingine....

Dadii is for Kasie and Kasie is for Dadii...

Ila uanze kuimba ule wimbo wa ...Yemi Alade... Looking for my Johnny...
 
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]

Unaenda wapi sasa Sakayo ....

Watu, umeacha jogging siku hizi.... Hizi mboo za Sakayo zinakushinda.... Au ndo unakimbia nyuma yake Ila kumfikia huwezi...aahahaahahahaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo mstari wa mwisho umenivunja mbavu!!

I just need my own Daddy mamii Kasie!!... Who will love me more than yo Dadiii loves you!!!

Me I don't care about white Nisan, what I need is LOVE!
 
Unaenda wapi sasa Sakayo ....

Watu, umeacha jogging siku hizi.... Hizi mboo za Sakayo zinakushinda.... Au ndo unakimbia nyuma yake Ila kumfikia huwezi...aahahaahahahaa.
Naenda kumtafuta my own Daddy jamani!!

Wakuitwa sukari, atadokolewa na wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…