This is for Dadii....

Umegunduaje? Wewe ni mtu wa tatu kama si wa 4 kusema unamtambua muanzisha mada kwa kuangalia kichwa cha uzi tuu....

Utaalam wako tafadhali...
Una "Uniqueness" kwenye uandishi wa heading.

Au kwa lugha nyepesi naweza sema una kitu tunaita "individualism " (ubinafsi ) wa baadhi ya maneno. Yaani likitamkwa tu, tunajua ni K. Matata!

Kwa mtu anayehudhuria jukwaani mara nyingi atakuwa anafahamu hili. Kuna baadhi ya members hata kabla ya kufungua uzi nakuwa nimesha- guess atakuwa fulani tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Woow, umenifanya niende maliwatoni, nikajitazama kuanzia miguuni hadi kichwani....

Kisha nikasema, wewe ni Kasinde asilia ndivyo ulivyoumbwa. Asante kwa maono yako.
Kwa lugha mgeni naweza sema it's an inborn art.
 
Hahaha....utanijazia PM ujue Kasinde
 
Hahaha....utanijazia PM ujue Kasinde


Asantee, ndo maana huwa nakupenda pipo, unajua kujiongeza.

Warembooo, watu ameongea kiutu uzima.... Mumfuate PM huko mtahakiki sukari iko kiwango gani na muhogo upo wa pishi lipi....
Aahahahhahahhahaaaaa waatuuuuuu

On the other hand, am a friend in deed you know, PM zikijaa niambie tuu ntakusaidia kuzisoma na kukusamaraizia jina na mahala pa kukutania eehehehehehheeeee.

Halafu, ukimuona RRONDO mwambie ama zake ama zangu.

Cheers.
 
Hahaha...hebu zima haraka huo msuba nimesema zimaaaa
 
Woow, umenifanya niende maliwatoni, nikajitazama kuanzia juu hadi kichwani....

Kisha nikasema, wewe ni Kasinde asilia ndivyo ulivyoumbwa. Asante kwa maono yako.
Kwa lugha mgeni naweza sema it's an inborn art.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kasie bhaana! Dah! We nouma sana aisee!

Ok, thanks sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha...hebu zima haraka huo msuba nimesema zimaaaa


Nimeshazima pipo, Ila umenikatiliii maana ni mtamuuu....

Mbadala wake niwashe nini....!!?? aahahahahaahahaha.
 
Nimeshazima pipo, Ila umenikatiliii maana ni mtamuuu....

Mbadala wake niwashe nini....!!?? aahahahahaahahaha.
Washia mishumaa hiyo keki ako amekupa dadiii
 
Washia mishumaa hiyo keki ako amekupa dadiii


Muda si mrefu nampigia muuza matunda ayaandae halafu ampe mtu wa bodaboda ayafikishe ulipo aidha by mail, air or ship. Uzuri anuani yako anayo, natumai yatakufikia yakiwa bado fresh.

Na nikiwasha mshumaa uje uupulize kabla haujayeyuka wote aahahahhahaha

Ila pipo uko vizuri, nimekukubali aahahahaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…