Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,074
- 107,597
Invisible wametumia Joomla?Ni nzuri, tatizo nadhani haijamalizika... Kuna mambo mengi yako ndivyo sivyo
It's a poorly customized Joomla site... Hata ya IPP ni vilevile.Invisible wametumia Joomla?
It's a poorly customized Joomla site... Hata ya IPP ni vilevile.
Ningepewa kazi hii na ThisDay ningewasaidia BURE kwa kutumia PHP Cow (see it here http://www.phpcow.com/?c=146) au hata NewsPHP (iangalie hapa http://www.newsphp.com/livedemo)...
asante
Haya jamani ushindani kwenye fani ya habari unaendelea kukua Thisday wame-launch new website nimeipenda hiyo! Mtanzania na Mwananchi (ukiacha online digital copy) lini wataboresha website zao? Maana kila siku zinaniwekea virusi kwenye computer yangu. Hima hima jamani