This country is so beautiful....

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,420
Reaction score
139,278
Nipo sehemu natazama mpira, pembeni yangu wamekuja kukaa vijana watatu umri kati ya 25-28 hivi.

Kwa kuwasikiliza accent ya ninegundua ni waUganda. Hawa vijana nahisi wanafanyakazi kampuni moja ya mafuta, nimeona mmoja kavaa tshirt yenye nembo ya hio kampuni.

Aisee hawa vijana muda wote maongezi yao ni kusifia maisha mazuri Tz na wanavyosafiri mikoa yote ya Tz kikazi. Wanasifia sana barabara zetu hasa nyanda za juu kusini. Na nikiwaangalia naona kabisa watakuwa wanalipwa vizuri.

Sasa wewe kijana wa kiTz endelea kulalamika mitandaoni nchi mbaya haina ajira blah blah wakati wageni wanakuja na kupata kazi na kuishi vizuri.
 
Vijana wetu wamekabidhi akili zao kwa wanasiasa huwezi kuwabadilisha wao wanaamini katika siasa ili hali ukiangalia hao wanasiasa ni watu wawili tofauti wanachohubiri majukwaani ni tofauti na wanavyoishi wao
Exactly
 
Wanasifia barabara zetu?

Hahahaa aisee...ama kweli watu tumetofautiana.

Tanzania kuna barabara gani za kusifia?
 
Katiba ingeruhusu JK aendelee kwa miaka 10 tungekuwa tunashindana na South Africa. Honestly jamaa alijitahidi kwa upande wa miundombinu.
Tell me you are not serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…