This complex world!

This complex world!

mavumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
596
Reaction score
328
PRAY FOR MANDELA.jpg PRAYING FOR MANDELA.jpg REPORTERS KATES BABY.jpg REPS KATES BABY.jpg
Vigil for Nelson and Prayers for Madiba;
AND........
Talking about Kate's baby and Waiting for the Royal offspring

While Africa and well wishers prayed for an Icon, Somewhere in Europe people did not sleep while waiting for a Royal Child!
 
ndugu yangu ama kweli dunia ni ya ajabu!
Hatimaye mtoto wa kifalme amezaliwa na umati uliokusanyika huko, na jinsi habari hiyo inavyorushwa na kushabikiwa na vyombo mbali mbali vya habari utadhani kaja messiah!

Lakini kama malkia wa uingereza ndiye mkuu wa jumuia ya madola - ambayo na sisi tumo tena kwa unyenyekevu na utii mkubwa, huenda mapokezi anayopewa mwana mfalme huyu ni stahili yake!

Wewe na mimi acha tuendelee kunwombea shujaa mandela, mwana wa madiba
 
ndugu yangu ama kweli dunia ni ya ajabu!
Lakini kama malkia wa uingereza ndiye mkuu wa jumuia ya madola - ambayo na sisi tumo tena kwa unyenyekevu na utii mkubwa, huenda mapokezi anayopewa mwana mfalme huyu ni stahili yake

Kwa maneno mengine unatuambia ni Mfalme wetu pia Watanzania? Yaani Tunaendelea kutawaliwa?
 
Kwa maneno mengine unatuambia ni Mfalme wetu pia Watanzania? Yaani Tunaendelea kutawaliwa?

Hapo ulipo unajiona uko huru? Kwa namna ambavyo mnaendelea kuwakabidhi Wazungu rasilimali zenu na hata usalama wenu ati kwa ajili ya misaada kama vyandarua na kondomu, Bwana Mavumbi wewe shukuru Mungu tu kuwa unapata ugali wako! You are still a colonised people!
 
Huo ni mtazamo hasi! Uhusiano wetu na hao Wazungu mbona ni wa mambo makubwa zaidi na mengi tu!
 
Back
Top Bottom