Kwa aina ya picha ulizoweka ingefaa KUTOA TAHADHARI KWAMBA PICHA HIZI NI ZA KUTIISHA. Moderators nawaombeni muwe mnapitia mipicha yetu kabla haijakuwa posted kwani tuna watoto (teenegers) wanaofuatilia JAMII FORUM na picha kama hizi hazifa ii kabisa kwa WENYE ROHO NYEPESI!