mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,851
Endelea kutumia hizo hizo.achana na what's app
Sijakulewa mkuu.Endelea kutumia hizo hizo.achana na what's app
Si ulikuwa unatumia yo what's app,na fm what's app endelea kuzitumiaSijakulewa mkuu.
Naweka kambi
Hukuambiwa ban yako ya masaa mangapi ?Wanajukwaa Habari za Jioni, Naombeni msaada wenu ili niweze kutumia WhatsApp Account yangu ambayo imefungiwa na WHATSAPP team kwa Sababu ya ku violate Terms za services zao. Nikiri tu nimekuwa natumia Application ambayo si rasmi kwa kumaanisha hizi Fm WhatsApp na GB WhatsApp, nimeambatanisha picha hapo chini pamoja na post hi ujumbe ninao upata kila nikitaka ku access account yangu ya whatspp. Ujumbe huu unasema .THIS ACCOUNT CANNOT USE WHATSAPP.
Natanguliza shukrani zangu.View attachment 2854721
Hawajaniambia mkuu wangu nahisi sijui ni permanent hata sielewi asee.Hukuambiwa ban yako ya masaa mangapi ?
Asante mkuu kwa wastani natakiwa kukaa masaa mangapi au siku ngapi?Email hawajibu hao kaa baada ya muda download official Whatsapp kutoka play store kwenye simu nyengine Kisha ingiza hiyo number ikokula ban
Tumia namba nyingine ya WhatsApp ya mtu mwingine chat nao kwenye hiyo WhatsApp siku hizi wanajibu hapo hapo WhatsApp huhitaji kutuma emailAsante mkuu kwa wastani natakiwa kukaa masaa mangapi au siku ngapi?
Ngoja ni jaribu mkuuu wangu, shukraniTumia namba nyingine ya WhatsApp ya mtu mwingine chat nao kwenye hiyo WhatsApp siku hizi wanajibu hapo hapo WhatsApp huhitaji kutuma email
Waambie unaomba samahani kwa kuvunja Sheria zao bila kujua na waambie ni namba ya biashara au kazi hivyo inakuletea wakati mgumu kuendelea na maisha yako
Wakigoma kabisa subiri baada ya mwezi mmoja au miwili jaribu tena
Hapa sitoboi mzeee hii imeisha daa nina ban la mwezi sasa.jangos pitia hapa hem naona kuna shida kama yako
Ingawaje kwa tatizo lako lile niwazi ulitumia gb wasap kwahio kama umepigwa ban imeisha hio badilisha tu namba ya wasap
Kama hujatumia gb kama unavyosema sijajua shida inaweza ikawa nn
Ukitumia wasap gb wakikutia ban ndio imeisha hio mzeeHapa sitoboi mzeee hii imeisha daa nina ban la mwezi sasa.
Hata Whatsapp ya kawaida huwezi kudownload aisee... daahUkitumia wasap gb wakikutia ban ndio imeisha hio mzee
Hausezi hide una lock but hiyo lock inaonekana hapo juuHata official WhatsApp wameleta hiyo option ya ku-hide chat pia wameleta option ya kutumia account number 2 kwenye app moja
Hakuna sababu tena ya kutumia hizo GbWhatsApp
Ndio imeisha hio yaani wao wanakua wanafungia namba husikaHata Whatsapp ya kawaida huwezi kudownload aisee... daah