This account cannot use WhatsApp

Nimekuwa natumia GB whatsapp miaka mingi sasa juzi nikasema nidownload whatsapp ya kawaida aisee Iligoma kabisa kuinstall...!! Ni kitu haiajawahi tokea kabisa kwenye app yoyote kwangu nahisi wameban sijui
 
Email hawajibu hao kaa baada ya muda download official Whatsapp kutoka play store kwenye simu nyengine Kisha ingiza hiyo number ikokula ban
 
Wanajukwaa Habari za Jioni, Naombeni msaada wenu ili niweze kutumia WhatsApp Account yangu ambayo imefungiwa na WHATSAPP team kwa Sababu ya ku violate Terms za services zao. Nikiri tu nimekuwa natumia Application ambayo si rasmi kwa kumaanisha hizi Fm WhatsApp na GB WhatsApp, nimeambatanisha picha hapo chini pamoja na post hi ujumbe ninao upata kila nikitaka ku access account yangu ya whatspp. Ujumbe huu unasema .THIS ACCOUNT CANNOT USE WHATSAPP.

Natanguliza shukrani zangu.View attachment 2854721
Hukuambiwa ban yako ya masaa mangapi ?
 
Email hawajibu hao kaa baada ya muda download official Whatsapp kutoka play store kwenye simu nyengine Kisha ingiza hiyo number ikokula ban
Asante mkuu kwa wastani natakiwa kukaa masaa mangapi au siku ngapi?
 
Asante mkuu kwa wastani natakiwa kukaa masaa mangapi au siku ngapi?
Tumia namba nyingine ya WhatsApp ya mtu mwingine chat nao kwenye hiyo WhatsApp siku hizi wanajibu hapo hapo WhatsApp huhitaji kutuma email

Waambie unaomba samahani kwa kuvunja Sheria zao bila kujua na waambie ni namba ya biashara au kazi hivyo inakuletea wakati mgumu kuendelea na maisha yako

Wakigoma kabisa subiri baada ya mwezi mmoja au miwili jaribu tena
 
Ngoja ni jaribu mkuuu wangu, shukrani
 
jangos pitia hapa hem naona kuna shida kama yako
Ingawaje kwa tatizo lako lile niwazi ulitumia gb wasap kwahio kama umepigwa ban imeisha hio badilisha tu namba ya wasap
Kama hujatumia gb kama unavyosema sijajua shida inaweza ikawa nn
 
Hapa sitoboi mzeee hii imeisha daa nina ban la mwezi sasa.
 
Hata official WhatsApp wameleta hiyo option ya ku-hide chat pia wameleta option ya kutumia account number 2 kwenye app moja

Hakuna sababu tena ya kutumia hizo GbWhatsApp
Hausezi hide una lock but hiyo lock inaonekana hapo juu
 
Back
Top Bottom