Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,411
- 79,657
Nimeshatubu sirudi tena ๐Kuumbe! Mshenzi wa tabia kabisa wewe
Nimeshatubu sirudi tena ๐Kuumbe! Mshenzi wa tabia kabisa wewe
Asante sana mkuuKukiri kosa na kujirekebisha sio udhaifu ni dalili ya kukua na kujua wajibu wako.
Kila la kheri.
Ooh Kumbe,bado sijaona aiseeHata official WhatsApp wameleta hiyo option ya ku-hide chat pia wameleta option ya kutumia account number 2 kwenye app moja
Hakuna sababu tena ya kutumia hizo GbWhatsApp
๐๐Shetani ameshindwa๐
hata mimi account mpya inakataaMimi pia yamenifika.Pamoja na kudownload official version toka piay store huku nikisajili kwa namba mpya ,account hiyo mpya ilidumu masaa machache ikafungiwa nayo.Watakuwa wamenitrack kupitia jina?
Duuuu hawa jamaaa watatutoa roho nina bann permanent sijuihata mimi account mpya inakataa
๐ SafiHawa jamaa wapo serious kuliko nilivyodhania aseee
ruwatumie email kama jamaa alivyotushauriDuuuu hawa jamaaa watatutoa roho nina bann permanent sijui
Mkuu nimetuma email zaidi ya 10, whatspp support wapo kimya sanaruwatumie email kama jamaa alivyotushauri
badilisha laini tuMkuu nimetuma email zaidi ya 10, whatspp support wapo kimya sana
mzee mpka sahizi hujapataWatalaamu mpo kimya sana.
Bila bila mkuu check inbox yako kaka.mzee mpka sahizi hujapata