This account cannot use WhatsApp

Hata official WhatsApp wameleta hiyo option ya ku-hide chat pia wameleta option ya kutumia account number 2 kwenye app moja

Hakuna sababu tena ya kutumia hizo GbWhatsApp
Ooh Kumbe,bado sijaona aisee
 
Mimi pia yamenifika.Pamoja na kudownload official version toka piay store huku nikisajili kwa namba mpya ,account hiyo mpya ilidumu masaa machache ikafungiwa nayo.Watakuwa wamenitrack kupitia jina?
 
Mimi pia yamenifika.Pamoja na kudownload official version toka piay store huku nikisajili kwa namba mpya ,account hiyo mpya ilidumu masaa machache ikafungiwa nayo.Watakuwa wamenitrack kupitia jina?
hata mimi account mpya inakataa
 
Aisee baada ya thread za malalamiko ya watu kula ban za maisha, nimesurrender rasmi, nimerud official WhatsApp kutoka yowhatsapp maana nina namba moja Tu ambayo inatambulika kwa wotee na ina groups muhimu sana nisije nikajilaumu
 
Hii ni hatari.
Screenshot_20231227-120440.jpg
 
Back
Top Bottom