Third Round Application TCU msaada

Third Round Application TCU msaada

Teacher Emma

Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
21
Reaction score
9
Habari zenu wakuu,
TCU wameruhusu maombi ya mara ya tatu ikiwa bado baadhi ya vyuo mfano Mzumbe Mbeya, NIT hawajatoa majina ya second round. Je, kwa walio na taarifa profile ya mtu anayetakiwa kuomba third round ina taarifa gani?
 
In

Inaonyesha mfumo wa udahili umefungwa
 
Jamani mbona inanionyesha nimechaguliwa tena nikiriew selections zinakuja zile kozi nilizoziomba awamu ya kwanza?
Zile nilizoziomba awamu ya pili hazionekani kabisa! Nisaidieni jamani
 
Habari zenu wakuu,
TCU wameruhusu maombi ya mara ya tatu ikiwa bado baadhi ya vyuo mfano Mzumbe Mbeya, NIT hawajatoa majina ya second round. Je, kwa walio na taarifa profile ya mtu anayetakiwa kuomba third round ina taarifa gani?
chuo cha NIT wamexhatoa majina ya second round tayar mbna.
 
Wamefungua Jan profile znu angalien utajua km umeselectiwa au laa.na mwsho tar 16 kuaply third selection
 
Back
Top Bottom