jefta yusuph
New Member
- May 29, 2015
- 4
- 0
hv wanaofanya application kwa mara ya tatu majina yao yatatolewa lini?

Profile yangu inaonesha capacity ni zero na cjapata chuo mpaka sasa niliomba kwa nacte ni dip nilipata gpa nzur sasa jamani tatizo ni nini??[Inamaanisha umekosa chuo hko badilisha ndugu]
Profile yangu inaonesha capacity ni zero na cjapata chuo mpaka sasa niliomba kwa nacte ni dip nilipata gpa nzur sasa jamani tatizo ni nini??
4th round ipo na 3rd round watatoa after 1 week
Kapombe unauhakika mkuu..? Au ndio kujitoa hofuu yakuona 4th round?
Ila hapa kunautata wa hali ya juu inayonipa dalili za 4th round kuwepo,
Ngoja nishare nanyi alafu mtasema mnachohisi kinaweza kutokea,
Kuna kamanda wangu mmoja yy aliapply moja ya slot zake udsm, ila juz udsm wakatoa majina yawaliyochanganyikana na makamanda wa 3rd round, kijana alipocheki jina lake hakulikuta ila kwenye page yake ya tcu inaonyeshe slot ya udsm inasomeka zero (0)
Akaona co kec wacha aweke slot ya chuo kingine,na ile ya udsm akairemove, ikakubali kutoka
Utata unaamka kwamba tcu wanamkatalia kumake 3rd round, so slot zake zimebaki nne till now, kapaniki kinouma!!
Anajiuliza 14/10 ni leo means mwisho wa kupokea maombi ya 3rd round ndio leo, vp system impeleke kwenye slot zake 4 alizoziselect badala ya kumpeleka kwenye slot zilizopo empty ??
Na kama unakumbuka,miongoni mwa v2 vilivyowafanya makamanda kutochaguliwa 1st & 2nd round ni kutokujaza nafasi zote tano,!
Mnasemaje hapa hamna dalili za 4th round kweli? Au kuchaguliwa chuo na tcu wenyewe kulingana na mchipuo wako pamoja na ufaulu wako,ebu share idea yako hapa
Nawasilisha