Unataka kufanyia kazi gani kwani? Hela ya spectre mkuu sio ndogo af pia ni spectre ipi mana kuna model tofaut za spectre zaid ya tatuWakubwa naomba msaada juu ya Experience hapa. Nachanganyikiwa kwenye kufanya maamuzi which one to buy Kati ya HP Spectre na Lenovo ThinkPad L440. Nafaham durability ya Thinkpad. Lkn cna experience ya HP especially kwa slim machine km hii Spectre. Mwenye experience anisaidie tafadhali.
Nashukuru Sana Cheif. ThinkPad L440. 4th Gen Intel i3 4100U. 4GB RAM,500GB HDD,14Inch IPS Display. Spectre: 6th Gen Intel i7 6500. 256GB SSD. 8GB RAMkwa knowledge ya kawaida spectre inakuwa ni laptop ya fashion wakati thinkpad ni ya kazi zaidi. ili kucompare kwa usahihi itabidi tujue aina za processor, hio thinkpad kutokana na jina lake tayari inajulikana ina kioo inch 14 na processor ya 4th generation japo huwezi jua ni processor ipi. hio spectre ndio haijulikani kabisa.
angalia vizuri kama una link ya hizo laptop mahala fulani online au specs zake zieke hapa nitakwambia ipi nzuri.
Nashukuru Chie
Nashukuru Sana Cheif. ThinkPad L440. 4th Gen Intel i3 4100U. 4GB RAM,500GB HDD,14Inch IPS Display. Spectre: 6th Gen Intel i7 6500. 256GB SSD. 8GB RAM
Nashukuru sana Kaka. Processor ya Spectre ndiyo ilonivutia plus hiyo SSD. Ina muonekano mzuri sana na ni nyepesi lkn tatizo sijajua uimara wake. Pia sina uzoefu sana na HP hasa katika suala la Overheating.mkuu hapo hio spectre kila idara ipo vyema kama ningekua na choice mbili tu ningenunua hio spectre.
ila ushauri wangu tafuta thinkpad ya 6th generation nayo, kama utapata itakuwa bora zaidi. thinkpad hazina muonekano mzuri lakini ni imara na warranty za biashara za miaka 3. pia zinakuwa na extended battery ambazo zinakaa na chaji zaidi ya masaa 15 hivyo kwa matumizi ya kawaida na safari itakaa muda sana bila kuchaji.
skylake hio 6th generation wamejitahidi sana kuzifanya zisitumie umeme mwingi, hivyo sidhani kama itaheat na ni busara kuwa na laptop yenye ssd.Nashukuru sana Kaka. Processor ya Spectre ndiyo ilonivutia plus hiyo SSD. Ina muonekano mzuri sana na ni nyepesi lkn tatizo sijajua uimara wake. Pia sina uzoefu sana na HP hasa katika suala la Overheating.
Nashukuru sana Kaka. Processor ya Spectre ndiyo ilonivutia plus hiyo SSD. Ina muonekano mzuri sana na ni nyepesi lkn tatizo sijajua uimara wake. Pia sina uzoefu sana na HP hasa katika suala la Overheating.
Nashukuru bro, Nimeshavuta Spectre 13 Pro. Its very niceskylake hio 6th generation wamejitahidi sana kuzifanya zisitumie umeme mwingi, hivyo sidhani kama itaheat na ni busara kuwa na laptop yenye ssd.
ila kama unaogopa mashine kupata joto achana na i series tafuta core m mashine kama dell xps 13 ya core m na asus ux305 ya core m ila nazo ziwe 6th generation. nazo pia zinakuwa nyepesi zina ssd na ram 8gb
Nashukuru Kaka. Nimeamua kuchukua Spectre 13 Pro.Spectre zipo njema mkuu, na pia hizo ni premium laptop kwa hiyo, usiwe na shaka juu ya uimara, nimeshawai miliki hp envy spectre xt, build quality ilikuwa safi, portable na nyingi ziko na aluminium case.
ilikua safi sana, ipo hivi.
View attachment 362996
Spectre ip mkuuKazi za kawaida Tu. Sana Sana ni issue za kusoma Tu. Co m2 game. ThinkPad L440 Ni dolls 750 plus VAT kwa Wakala WA Lenovo Dar. Na Spectre Nimeiona Mbeya wanauza 1.8M. Kwa hiyo bei zinafanana.
Bei yake ipoje Mkuu?Nashukuru bro, Nimeshavuta Spectre 13 Pro. Its very nice
machine.
Bei yake ipoje Mkuu?Nashukuru bro, Nimeshavuta Spectre 13 Pro. Its very nice
machine.