technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Pole sana sijawai kuwa mfuasi wa chama chochote na nikuulize unalipwa kiasi gani kumwaga povu kiasi hiki?WE jamaa ni mpuuzi sana .......Hivi hamnaga kazi za maana za kufanya??????ZAIDI YA KUANDIKA MUDA WOTE UPUUZI?????????ebu kuweeni na nidhamu wakati mwingne si kila siku nyie ni kuandika tu......VITU VINGNE VINAKERA SANA........haya ndio madhara ya kushikiwa ufahamu wenu na hao viongozi wenu wa UFIPA
SILIPWI CHOCHOTE KIJANA.......wewe ndiye unaeonekana kulipwa.......Maana hapa ni upuuzi wa kiwango cha juu kabsa unachoandika hapaPole sana sijawai kuwa mfuasi wa chama chochote na nikuulize unalipwa kiasi gani kumwaga povu kiasi hiki?
ACHA KUROPOKA USIYO YAJUA KIJANA.......JPM haukubali mwenge.
Ni vile basi tu.
Kijana na Mimi silipwi chochote lakini nakushauri penda kusikia usiyoyapenda masikioni mwako.....SILIPWI CHOCHOTE KIJANA.......wewe ndiye unaeonekana kulipwa.......Maana hapa ni upuuzi wa kiwango cha juu kabsa unachoandika hapa
bora hajaenda vijembe na majigambo tumechoka kabisaJe ni kubana matumizi?
Je nikutorizishwa na mwenendo wa kuwepo mwenge ?
Kama ni kubana matumizi kwanini shein atoke Zanzibar kwenda simuyu hapo atakuwa ametumia kiasi gani kulinganisha na kutoka dar?
Au kuna mtu wa pili anayerazimisha mwenge tuendelee kuukimbiza kila mwaka na si matakwa ya Rais?
Au ameogopa kuchafua hali ya hewa tena kwa matamushi?
Bado sijaelewa ni kwanini Rais ameshindwa kwenda simuyu kuzima mwenge?
Mie naona Bro Magu yupo busy sana. Mana hata wahanga wa tetemeko mpaka Leo hajaenda Na watz wengi wanachangia kwenye hayo maafa.
Nahisi anaona Dr Shein anatosha kabisa kimuwakilisha huko Simiyu
Angalia logo yake ya kampeni ilikuwa na alama gani?JPM haukubali mwenge.
Ni vile basi tu.
ww ndoo akili hunaWE jamaa ni mpuuzi sana .......Hivi hamnaga kazi za maana za kufanya??????ZAIDI YA KUANDIKA MUDA WOTE UPUUZI?????????ebu kuweeni na nidhamu wakati mwingne si kila siku nyie ni kuandika tu......VITU VINGNE VINAKERA SANA........haya ndio madhara ya kushikiwa ufahamu wenu na hao viongozi wenu wa UFIPA
Una uhakika kuwa aliyeyasema hayo ni mpinzani ...............!!?Lakini sishangai maana kuna mbunge mmoja wa chama fulani cha siasa aliwahi kusema kuwa ni bora kuweka sanamu ya diamond kuliko sanamu ile ya mwanajeshi iliyopo pale posta ambayo ni alama ya jiji inayowkilisha walinzi wa taifa. Yaani jamani ama kweli wapinzani wana vitimbwi.