Thinking Critically: Kwanini Rais Magufuli hajaenda Simiyu kuzima mwenge?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,958
48,755
Je, ni kubana matumizi?

Je, nikutorizishwa na mwenendo wa kuwepo mwenge ?

Kama ni kubana matumizi kwanini shein atoke Zanzibar kwenda simuyu hapo atakuwa ametumia kiasi gani kulinganisha na kutoka dar?

Au kuna mtu wa pili anayerazimisha mwenge tuendelee kuukimbiza kila mwaka na si matakwa ya Rais?

Au kwa vile hakwenda Bukoba ndio kimemfanya na simiyu asiende?

Au ameogopa kuchafua hali ya hewa tena kwa matamushi?

Bado sijaelewa ni kwanini Rais ameshindwa kwenda simuyu kuzima mwenge.
 
WE jamaa ni mpuuzi sana .......Hivi hamnaga kazi za maana za kufanya??????ZAIDI YA KUANDIKA MUDA WOTE UPUUZI?????????ebu kuweeni na nidhamu wakati mwingne si kila siku nyie ni kuandika tu......VITU VINGNE VINAKERA SANA........haya ndio madhara ya kushikiwa ufahamu wenu na hao viongozi wenu wa UFIPA
 
Pole sana sijawai kuwa mfuasi wa chama chochote na nikuulize unalipwa kiasi gani kumwaga povu kiasi hiki?
 
Sasa Shein unadhani atatembelea nchi gani zaidi ya Tanganyila?

Nampa hongera Magufuli, delegation yake kwenda Simiyu ingetugharimu tofauti na mtawala wa nchi jirani.
 
Mie naona Bro Magu yupo busy sana. Mana hata wahanga wa tetemeko mpaka Leo hajaenda Na watz wengi wanachangia kwenye hayo maafa.

Nahisi anaona Dr Shein anatosha kabisa kimuwakilisha huko Simiyu
 
Pole sana sijawai kuwa mfuasi wa chama chochote na nikuulize unalipwa kiasi gani kumwaga povu kiasi hiki?
SILIPWI CHOCHOTE KIJANA.......wewe ndiye unaeonekana kulipwa.......Maana hapa ni upuuzi wa kiwango cha juu kabsa unachoandika hapa
 
Je ni kubana matumizi?

Je nikutorizishwa na mwenendo wa kuwepo mwenge ?

Kama ni kubana matumizi kwanini shein atoke Zanzibar kwenda simuyu hapo atakuwa ametumia kiasi gani kulinganisha na kutoka dar?

Au kuna mtu wa pili anayerazimisha mwenge tuendelee kuukimbiza kila mwaka na si matakwa ya Rais?

Au ameogopa kuchafua hali ya hewa tena kwa matamushi?

Bado sijaelewa ni kwanini Rais ameshindwa kwenda simuyu kuzima mwenge?
bora hajaenda vijembe na majigambo tumechoka kabisa
 
Mie naona Bro Magu yupo busy sana. Mana hata wahanga wa tetemeko mpaka Leo hajaenda Na watz wengi wanachangia kwenye hayo maafa.

Nahisi anaona Dr Shein anatosha kabisa kimuwakilisha huko Simiyu

jimbo la upinzani lile jamaa ni mtu wa visasi na roho mbaya kisa hakupigiwa kura ndo mana hajakwenda kiongoz mbaguz huyu
 
WE jamaa ni mpuuzi sana .......Hivi hamnaga kazi za maana za kufanya??????ZAIDI YA KUANDIKA MUDA WOTE UPUUZI?????????ebu kuweeni na nidhamu wakati mwingne si kila siku nyie ni kuandika tu......VITU VINGNE VINAKERA SANA........haya ndio madhara ya kushikiwa ufahamu wenu na hao viongozi wenu wa UFIPA
ww ndoo akili huna
 
Lakini sishangai maana kuna mbunge mmoja wa chama fulani cha siasa aliwahi kusema kuwa ni bora kuweka sanamu ya diamond kuliko sanamu ile ya mwanajeshi iliyopo pale posta ambayo ni alama ya jiji inayowkilisha walinzi wa taifa. Yaani jamani ama kweli wapinzani wana vitimbwi.
 
Una uhakika kuwa aliyeyasema hayo ni mpinzani ...............!!?

Anyway, for your info. alikuwa mbunge kijana wa CCM!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom