1. The future of my kids. Kwa mfano viwanja, im wondering by the time wanaginga 30s possibility ya kykaa mjini ni finyu maana watapata viwanja almost nje ya mkoa. Im thinkin out loud kuwataftia maeneo ili at least waanzie masiha mjini coz mimi sio muamini wa ile theory ya mtoto kuteseka jus bkoz mzazi aliteseka kupata life.
2. Nmefkiria bills zote za hapa kwangu and im wondering kua na vyanzo mbalimbali to foot each bill. Mfano nifuge nguruwe ili profit yake iwe inaweka mafuta kwenye magari n.k
3. Ah, nko busy, zingine baadae
Tatizo nchi yetu imetupumbaza kuwa English ni lugha ya wasomi, ndio maana wengi wanajifosi kuongea ngeli ilhali hawakiwezi. Tumieni tu kiswahili, mtaeleweka kwa utuo. Kumbukeni kuongea broken English sio fashion, ni upuuzi

Kurudia rudia kitu kunamfanya mtu kuwa mlemavu. Ni afadhali kwenda sehemu n kusema hujui English ili utafutiwe mkalimani, kuliko kwenda kuboronga. Kuongea kiswahili sio ujinga. Kuongea na kufikisha ujumbe ipasavyo ndio kitu cha muhimu kokote duniani, nje ya hili ni ubabaishaji tu