THINK

THINK

Silivian

Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
88
Reaction score
212
Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu!
 
Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu!
--
Una hoja.
Hoja yako inafanana kabisa na hoja/mtazamo wa FID Q - hasa kama ulisikiliza hii album KitaaOLOJIA

1753152906502.png
 
Una 97% za Kufanikiwa Kibiashara Kama Utajifunza Kutoka kwa Pablo Escobar na 3% Tu za Kufanikiwa Kama Utajifunza Kutoka kwa Professor wa Chuo Kikuu!
Anasemaje huyu bwana?
 
Au sio...
We umejifunza kwa nani na hali yako ikoje?
 
pAblo napenda tu story yake kwanza akaoa kibinti kidogo sana,baadae akaleta michepuko kukaa nayo home kwake na mkewe,yaan michepuko sio mmoja na mke akawa katulia

Kuoa mwanamke mdogo raha sana,yaan unamtreat kama binti yako tu
 
Kwa wewe umeelewa anasema uuze madawa, sikulaumu! ila fikiria hajasema hvo
Aisee kuna watu mna makasiriko yasiyo na msingi. Mimi nimeuliza ana semaje? Wewe una leta habari za madawa, shida ni nini mzee?
 
Back
Top Bottom