Think twice kabla hujatupa chakula

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,500
19,962
354023520_4cd4c4def1_o.jpg
 
Katika jadi ya makabila mengi ya kiafrika watoto toka udogoni mnafundishwa KUTOTUPA CHAKULA.....Ni jadi ambayo hadi leo katika hizi familia za kisasa (dot.coms) inatakiwa kusisitizwa sana kwani UKIONA UMEPATA CHAKULA CHA KUTOSHA HADI KUSAZA MSHUKURU SANA MUNGU WAKO; sio wote wana chakula muda huo!!!

Unachookoa katika kuandaa KIASI cha chakula kitakashotosha tuu waweza kitumia kusaidia wengine wenye shida (genuine) kwa njia mbalimbali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom