Inasikitisha, lakini tungeweza kukabiliana na haya vizuri na kupunguza madhara ya huu umasikini kama : 1. tungedhibiti Ufisadi na rushwa 2. kuwakaba Wanaokwepa kulipa kodi 3. Wanadini badala ya kugombana baina sisi kwa sisi tutoe sadaka zetu kwa hawa masikini kuwanyanyua toka janga la umasikini. 4. Tungekuwa na moyo wa kweli wa kuthamini maisha ya binadamu wenzetu