Think different

A43

JF-Expert Member
Nov 18, 2023
385
757
Kuna mda mafanikio yanahitaji Fikra tofauti, na fikra au mawazo ya kawaida kabisa ya watu wengi juu ya jambo au maamuzi fulani. Ndio maana hii leo kuna watu wanatafakari nakutenda kitofauti lengo ku achieve jambo au kitu fulani na kinaleta mshangao kwa watu wengi kwamba ilikuaje ukawaza nakutenda vile?

#Think different #Be positive #Simamia maono #Innovation #Creativity
 
Back
Top Bottom