osmaney
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,042
- 1,000
- Thread starter
- #21
Dahh nmekubal mkuuHuwa sikosei,macho yangu huwa yapo makini sana yanapo ona vitu hivyo.ngoja alete mlejesho utaamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh nmekubal mkuuHuwa sikosei,macho yangu huwa yapo makini sana yanapo ona vitu hivyo.ngoja alete mlejesho utaamini.
Kwan huna partner?Nikae hapa wakichangia nitapata yakuelezea pia
Yupo partner in crimes tu
Ha ha ha hao ni wabaya sana maana dhambi zote wanazijuaYupo partner in crimes tu
Yes sema sisi tuna dhambi ndogondogo
😳😳😳😳Avatar yako hilo guu inaonyesha chura aliyekuepo hapo ni hatari.chura mchuchu mio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes sema sisi tuna dhambi ndogondogo
Hauwez kua batili mkuu[emoji23]kama mtoa mada hana chura uzi ni batili
Alichosema ni kwel kbs[emoji3][emoji3][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]