Mambo ya msingi yanayohitaji kupewa kipaumbele katika maisha hayawezi kununuliwa kwa fedha; yanajumuisha afya, mahusiano mema, muda, na malengo ya maisha.Swahili language pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzz!
Akina lasabaD umetuacha asee
Cc Smart911
Santo sana kwa mwongozo!Mambo ya msingi yanayohitaji kupewa kipaumbele katika maisha hayawezi kununuliwa kwa fedha; yanajumuisha afya, mahusiano mema, muda, na malengo ya maisha.
Mapito ya kawaida kama vile vyeo vya kazi, mitandao ya kijamii, na mali yanapofifia, misingi mikuu ya furaha ya mwanadamu hubaki palepale.
.Naja inbox 📥, ni elf kumi tu halotel bando za mchongoWeka number niku bless bundle.. Maana umeongea ukweli wa moyo😃