Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

The profit we will make from the gas is much bigger than what you will get from Kenya. Let me assure you that Kenya will sell the gas to other countries.

So those countries will not be tapping at source, instead go to you to be charged higher prices.
 
Ni same na kununua airticket. Unaponunua airticket ya Kuenda Europe halafu ununue ticket ya Emirates basi lazima watakupeleka Dubai kwanza ushuke ubadilishe ndege na kupanda ndege nyingine inayokwenda Europe. Sasa huwezi kuambia Emirates kwamba wewe hutaki kushukia Dubai. Kama ulikata tiketi ya Emirates basi lazima watakupeleka Dubai kwanza upende usipende maana Dubai ndio headquarters yao. Hapo ndipo nyumbani kwa Emirates. Halafu mimi pia nazungumza from personal experience maana nilipopanda Emirates walinipeleka Dubai kwanza na wala hawakuniuliza kama ningependa kushukia Dubai au la. In fact they don't care about my opinion. Halafu nilipokuwa narudi nilipanda Qatar airways halafu nao wakanishusha Doha airport na nikabadilisha ndege ya kuja Nairobi. Sasa Maersk wakiamua kufanya Lamu port iwe logistics hub yao hapa Africa basi mizigo yoyote inayokwenda katika nchi za Africa zitakuwa zinashushwa kwanza Lamu port kisha zinapakiwa katika meli ndogo na kusafirishwa up to their final destinations. Na wala Maersk hawatauliza serikali ya Tanzania for its opinion.
Cc Kobello
 
Hiyo inaonesha hakuna wafanya biashara, no waganga njaa na wapiga dili tu!

Aibu kwa kenya,makampuni 500 kwa bln 1!
Hio sio TZshs 1 billion pesa ya madafu. The real figure ni 1.7 billion US dollars.
Yaani kwa sababu 1 USD ni sawia na approximately 2,300 Tzshs basi 1.7 US dollars ni sawia na 3.9 trillion TZshs.
Don't confuse pesa ya madafu na US dollars please.
 
Hapa explain which market forces are these that determine Distance and weights of containers on shipping lanes
Determine what????
Hehe ....
Price/distance na price/pound huwa determined by market forces.
It's the rate ! Market forces hazidetermine distance and weights.
Wewe upo mzima kichwani??
Mbona kampuni za meli zinatumia strait of hormuz badala ya kuzunguka? while we are at it, Mbona kampuni za meli zinatumia Suez canal badala ya kuzunguka, Mbona Panama Canal is so important???
Tusipende kujibu maswali kama hayo kwa kutumia shallow reasoning. Be a bit serious.
Saudi and UAE hatujui strait of hormuz. Wanatumia pipelines. Reason ni Iran. Meaning kwamba nchi inapanga Bei hence determining the price of shipping cargo from one point to another.
Nchi pia zinacharge mizigo ya nchi tofauti, Bei tofauti.
Shipping lines??? Psht!!
Sasa swali muhimu ni je, nani alimake hio decision ya hio meli ipitie harmuz au Singapor au Malaysia, Je, Ni Iran ndo iliamua lazima meli zipitie strait of hormuz au ni kampuni za meli ziliamua kwamba wakitumia njia hio itakua ni cheaper kwao?
Iran is the "major" factor. When US lifted sanctions on Iran, more tankers passed through and vice versa. Iran is the factor.
Same issues in the black sea, south china ocean etc...
Shipping agencies are just bitches in this game. Governments are the pimps.
 
Eti hapo mtu anaona smeongea point.
Huu ni mfano mzuri wa utumbo.
 
Ujinga na najua imekuuma,Haina mambo, Kibera Niko Raha tu Nataka kuja kununua ekari 500 Shamba TZ,ili nihame KE, Ndugu munauza acre Ngapi???
Huna sifa za kumiliki ardhi, ni aidha uoe mtanzania halafu ununue, hati ziandikwe jina lake au ufanye jointly na mtanzania hafu yeye ndo awe mmiliki.
 
Hiyo ni pesa ndogo sana kwa watanzania mkuu. MO DEWJI peke yake is worth $1.5 billion.

Bado narudi kule kule. You can keep you peanuts back in Kenya. Hamna hela ya kufanya biashara huku.

Tulizeni boli
Hio sio TZshs 1 billion pesa ya madafu. The real figure ni 1.7 billion US dollars.
Yaani kwa sababu 1 USD ni sawia na approximately 2,300 Tzshs basi 1.7 US dollars ni sawia na 3.9 trillion TZshs.
Don't confuse pesa ya madafu na US dollars please.
 
Hio sio TZshs 1 billion pesa ya madafu. The real figure ni 1.7 billion US dollars.
Yaani kwa sababu 1 USD ni sawia na approximately 2,300 Tzshs basi 1.7 US dollars ni sawia na 3.9 trillion TZshs.
Don't confuse pesa ya madafu na US dollars please.

Laizer pekee anakusanya kampuni kama 6 za Kenya
 
Assume profit of all 500 companies is $500m
Tuna kula 28% cooperate Tax
$140m tunakula.
 
Huna sifa za kumiliki ardhi, ni aidha uoe mtanzania halafu ununue, hati ziandikwe jina lake au ufanye jointly na mtanzania hafu yeye ndo awe mmiliki.
Kuoa nitaoa Watz Millioni Nikiweza,tunashare same ancestors Kwani Hujui?😛
 
Child, you have a point though I don't get it when you assert that SSH's tour to Kenya was rushed. How and why? You are dead right. There are things she needs to avoid. Kenyans are known for their desire to benefit from our resources without any kind of reciprocation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…