Tatizo lako nimeshaligundua. Siyo lugha Ila ni depth of thinking. Labda unapoliticize hii issue. Weka siasa pembeni.anadetermine bei ya usafirishaji kotena juu ya meli? Yani kampuni kama Maersk, COSCO, CMA-CGM, Evergreen, nani ana control nauli zao za kusafirisha kontena?
Wachana na bandari, imagine
Hakuna kitu kama hicho.Wachana na bandari, imagine hii kontena imeshatoka bandarini iko kwa meli juu ya maji, ni nani ndo anapanga bei ya usafirishaji hapo majini kwenye international waters?
ofcourse tutanunua na kulipa fair and square bila kuomba omba. Kama hujawahi kutuelewa wakenya sisi hua tunafurahia jambo ambalo litatuletea maendeleo haijalishi ata kama limetoka kwa mtu ambae saa zengine tuna uhasama nao.You mean for free?!
Boss hata hukua unajua where ur head of state was is in the first placeWho was that? Wakenya mna tatizo la kisaikolojia ...you will get nothing from TZ.
Correction wilson airport
Hehe ...Msiwe na matusi Nyinyi Bongolala Tutawanunua wote Kama Mahindi
Nyinyi mumeinvest Ngapi Kenya???Kenya ni nchi ya tano kuwa na investors tz lakini afrika mashariki ni ya kwanza.hata hiyo dolor billion moja bado ni ndogo Sana wakati sekta moja ya utalii inaingiza Zaid ya mara 2 ya kiasi hicho mnachotuingizia.
Mnahela gani wakati wengi wenu ni masikini.ndo maana mnangangania mje Tanzania nchi ya maziwa na asali.uchumi unamilikiwa na watu wachache kama ardhi inavyomilikiwa na watu wachache.Msiwe na matusi Nyinyi Bongolala Tutawanunua wote Kama Mahindi
Tumeonvest nchi za kusini mwa afrika.Nyinyi mumeinvest Ngapi Kenya???
Kama vile congo ni superpower naonaLakini Tanzania tunaenda kuwa superpower tuna kila resources ya kuwakolonize Nyinyi.
Wewe reasoning capacity yako iko chini sana. You are basically saying the same thing that Kafrican is saying. Both of you agree that one cost component that is crucial is the distance between departure and destination. So the distance between China and Lamu port for example is shorter than the distance between China and Dar port. So the longer route will use more fuel while the shorter route will use less fuel. The longer route will take longer for the ship to reach its destination while the shorter route means the ship will reach its destination faster. Not to mention that Lamu port is the only port in East Africa capable of berthing the largest ships in the world. No other port in this region can do that.Tatizo lako nimeshaligundua. Siyo lugha Ila ni depth of thinking. Labda unapoliticize hii issue. Weka siasa pembeni.
1. Kontena juu ya meli haliwezi
kuwepoo mpaka kuwe na
destinationn.
2. Now that we've established the
importancee of destination we
cann further break it down to
"lanes" (maritime). How many
stopss and at what distance.
Why am I going to stop there on
my way, security etc...
3. The cost of reaching that
destinationn. Distance and
weightss are heavily dependent
on market forces. How
competitivee the particular
markett is.
4. What actually makes the
differencee is the destination.
How speedy is their unloading.
How sophisticated, security, and
at what price??
It's the destination my friend. That's why the strait of hormuz is so crucial to the world. That's why Singapore is rich, so is Malaysia.
Hakuna kitu kama hicho.
Are you really going to convince me to think that way?
Container juu ya maji with no to and fro points is nothing.
Why would you think that way?
Naona umeanza kugeuza kiswahili polepole tu mwishowe utaingilianaTatizo lako nimeshaligundua. Siyo lugha Ila ni depth of thinking. Labda unapoliticize hii issue. Weka siasa pembeni.
1. Kontena juu ya meli haliwezi
kuwepoo mpaka kuwe na
destinationn.
2. Now that we've established the
importancee of destination we
cann further break it down to
"lanes" (maritime). How many
stopss and at what distance.
Why am I going to stop there on
my way, security etc...
3. The cost of reaching that
destinationn. Distance and
weightss are heavily dependent
on market forces. How
competitivee the particular
markett is.
Nani anayepanga bei?
1.Mwenye bandari
2.Mwenye mizigo
3. Shipphing agencies....
at what price??
It's the destination my friend. That's why the strait of hormuz is so crucial to the world. That's why Singapore is rich, so is Malaysia.
Hakuna kitu kama hicho.
Are you really going to convince me to think that way?
Container juu ya maji with no to and fro points is nothing.
Why would you think that way?
Nani anayepanga bei?
1.Mwenye bandari
2.Mwenye mizigo
3. Shipphing agencies....
Maneno mengi.
Ni nchi husika ndiyo inadetermine kwa kiasi kikubwa sana gharama za kutumia bandari yake.
Market forces zitapush decision-making lakini at the end of the day, nchi husika ndiyo itaamus gharama za bandari zake.
Baada ya hapo, shippi agencies zitachagua then wateja.
Sasa wewe unataka kuleta blah blah za Sri Lanka na Oman.
Hebu tuacheni kwanza.
Sure, ongezea hizo hesabu kwa nauli, sijakataa. Point ni, Who determines how many stops? Who determines the cost of security? Who makes the decisions about these things, is it the port or the shipping line?2. Now that we've established the
importancee of destination we
cann further break it down to
"lanes" (maritime). How many
stopss and at what distance.
Why am I going to stop there on
my way, security etc...
Hapa explain which market forces are these that determine Distance and weights of containers on shipping lanes3. The cost of reaching that
destinationn. Distance and
weightss are heavily dependent
on market forces. How
competitivee the particular
markett is.
Nani anayepanga bei?
I think this particular point umenijibu bila kujua hata we mwenyewe, Mbona kampuni za meli zinatumia strait of hormuz badala ya kuzunguka? while we are at it, Mbona kampuni za meli zinatumia Suez canal badala ya kuzunguka, Mbona Panama Canal is so important???It's the destination my friend. That's why the strait of hormuz is so crucial to the world. That's why Singapore is rich, so is Malaysia.
Hahaha, umenipata kabisa, After all the cost calculations are done, Kampuni ya meli yenyewe ndo itamuua jinsi na njia gani ni cheaper kupeleka mzigo from point A to point B after compairing all the competing factors wao ndo wataamua kama kampuni ya meli!Wewe reasoning capacity yako iko chini sana. You are basically saying the same thing that Kafrican is saying. Both of you agree that one cost component that is crucial is the distance between departure and destination. So the distance between China and Lamu port for example is shorter than the distance between China and Dar port. So the longer route will use more fuel while the shorter route will use less fuel. The longer route will take longer for the ship to reach its destination while the shorter route means the ship will reach its destination faster. Not to mention that Lamu port is the only port in East Africa capable of berthing the largest ships in the world. No other port in this region can do that.
Acha uongo wewe mwehu. ...hivi hata aibu huoni kuongea hapa mbele za watu!Usisahau pia tunakuza Mahindi Kenya ila Tunanua Mahindi Pia UG na TZ[emoji14]Kenya Kuna regions Mingi kumepatikana Gesi Lakini haijaanza kutolewa,
Ata America na India ata France Kuna Maskini wa kutupa na wako na Pesa,nothing is free in this world.Nyinyi TZ Ndio mnangojanga kusamehewa Deni pekee yenu😛Alafu kumbuka sisi wakenya most Crops are Cash Crops na sio Food crops,Tunategemea Inchi Zingine Tununue kwao Food Crops Kama UG,TZ,DRC,Ethiopia na MexicoMnahela gani wakati wengi wenu ni masikini.ndo maana mnangangania mje Tanzania nchi ya maziwa na asali.uchumi unamilikiwa na watu wachache kama ardhi inavyomilikiwa na watu wachache.
Mpaka Na Sisi tumeinvest huko😛Tumeonvest nchi za kusini mwa afrika.
Usiniite mwongo😛Lamu Kuna Gesi imepatikana,Turkana Kuna mafuta imepatikana ambapo Kuna mafuta Kuna gesi isipokuwa Turkana Mafuta Ndio nyingiAcha uongo wewe mwehu. ...hivi hata aibu huoni kuongea hapa mbele za watu!
Wakenya bwana, yani hata tukisema tunakula mavi basi wao watasema wanakula mavi zaidi yetu! !
Sisi ni superpower. Tulizeni boli! !
Gas kishaichukua somalia kule juu 😀Kwan mnathani Nyinyi Ndio Jirani ambaye wako na Gesi pekee😃Unajua pia Kenya iko na Gesi Lakini haijaanza kutolewa sjui mpango yao Ni Gani????🤔🤔😛
Kashaichukukua Kwani wwe Ni wazimu😛🤣🤣🤣🤣Gas kishaichukua somalia kule juu 😀
Aibu kwa kenya,makampuni 500 kwa bln 1!Au you crazy?umeshika uchumi Kwa hiyo dolar bilion 1 wakati tunafanya miradi mikubwa za madola mengi alafu zingine tunaendesha wenyewe bila kukopa hicho kiasi ni kidogo Sana.
Do you know if they win the case ita affect mpaka Coast yenu, mpaka huko South Africa,itabidi pia Nyinyi mkipate che mtamakuni,Don't laugh and it can spread to your Coast line too😛Gas kishaichukua somalia kule juu 😀