U're collect upande wako lkn hauwezi kuwa sawa upande wangu coz of yo aggressive attack.
Nenda kasome upya, yeye amesema amemu inspire Henry, siyo yeye kawa inspired na Henry.
Wacha kiherehere.
Siyo aliku inspire?
Lugha za watu hizi jamani, au ulitaka kusema ulimu admire?
Unajua vyema kama ni type error. Kiherehere ni wwe unayesoma mpaka nukta na unawashwa kusema tu.
Mengine sio ya kusema
= You're correct
Tatizo la Watanzzania wengi badala ya ku appreciate mnapopewa darsa huwa mnaona kama mmetiwa mkuki moyoni, ndiyo maana hamjifunzi mapya.
Ulitakiwa u appreciate, urudi juu kwenye post yako urekebishe makosa na unipe like. Siyo uje na sababu lukuki wakati kosa liko wazi.
Ndiyo maana Watanzania kuwajibika ni vigumu sana, watu hata wanapofundishwa na kusahihishwa wao wanafikra hasi tu.
Jamaa nilimu inspire sana, kati ya wachezaji waliokuwa hawajivuni saaaana huyu ni mmojawapo.
Asante Thierry Henry.
ali/uli mu??
kama uli basi we mbaaaaaaaayaaaa
Kutokana na unacho_comment hapa siku nikioneshwa ndo wewe sitashangaa, maana tayari your appearance already appeared through jf.
Kutokana na hayo inathibitisha wewe siyo mtanzania (ndo maana ukasema tatizo la watanzania ) na yawezekana kama ni mtanzania HUJUI kinachoendelea leo Rais wako atafanya nn kupitia wazee wa Dar.
>>Kwani unateke :-X na nn ukiona neno (u're collect) na lengo la hiyo ilikuwa kupima uwiano wa akili yako na jinsi utakavyoonekana.
Kweli me mbaya kwani si unaona hata sura yangu hapo? Kwanza nshazeeka na sidhani kama naweza kuwa mzuri, but maadam umeelewa.
Cha kushangaza zaidi ya waliopitia kusoma bila comments kwa uzi huu wanaonekana idadi yao ila wamesoma na kupita na hata hizo errors wameziona 囧
Unajua vyema kama ni type error. Kiherehere ni wwe unayesoma mpaka nukta na unawashwa kusema tu.
Mengine sio ya kusema
Henry ndio mchezaji bora wa muda wote hutaki unaacha
Unamuacha wapi zidane au Ronardo wa Brazili?