Thierry Henry astaafu soka rasmi

Thierry Henry astaafu soka rasmi

U're collect upande wako lkn hauwezi kuwa sawa upande wangu coz of yo aggressive attack.

= You're correct

Tatizo la Watanzania wengi badala ya ku appreciate mnapopewa darsa huwa mnaona kama mmetiwa mkuki moyoni, ndiyo maana hamjifunzi mapya.

Ulitakiwa u appreciate, urudi juu kwenye post yako urekebishe makosa na unipe like. Siyo uje na sababu lukuki wakati kosa liko wazi.

Ndiyo maana Watanzania kuwajibika ni vigumu sana, watu hata wanapofundishwa na kusahihishwa wao wanafikra hasi tu.
 
Nenda kasome upya, yeye amesema amemu inspire Henry, siyo yeye kawa inspired na Henry.

Wacha kiherehere.

Unajua vyema kama ni type error. Kiherehere ni wwe unayesoma mpaka nukta na unawashwa kusema tu.
Mengine sio ya kusema
 
Unajua vyema kama ni type error. Kiherehere ni wwe unayesoma mpaka nukta na unawashwa kusema tu.
Mengine sio ya kusema

Ukiangalia saaana utakuja kugundua shida siyo yake ni toka kwa mwalimu wake, lakini toka mwl alipomuelekeza jinsi ya kung'amua kosa la mtu kupitia maandishi shida ndipo ilipoanzia.
Na cha ajabu hawahawa kina FaizaFoxy ndiyo wanaopenda kuharibu mada za watu kwa kutokwa na povu kila anapoona fingerwriting errors anaacha kuchangia anamkumbuka mwalimu wake.
kazi kweli kweli.
 
= You're correct

Tatizo la Watanzzania wengi badala ya ku appreciate mnapopewa darsa huwa mnaona kama mmetiwa mkuki moyoni, ndiyo maana hamjifunzi mapya.

Ulitakiwa u appreciate, urudi juu kwenye post yako urekebishe makosa na unipe like. Siyo uje na sababu lukuki wakati kosa liko wazi.

Ndiyo maana Watanzania kuwajibika ni vigumu sana, watu hata wanapofundishwa na kusahihishwa wao wanafikra hasi tu.

Kutokana na unacho_comment hapa siku nikioneshwa ndo wewe sitashangaa, maana tayari your appearance already appeared through jf.
Kutokana na hayo inathibitisha wewe siyo mtanzania (ndo maana ukasema tatizo la watanzania… ) na yawezekana kama ni mtanzania HUJUI kinachoendelea leo Rais wako atafanya nn kupitia wazee wa Dar.
>>Kwani unateke… :-X na nn ukiona neno (u're collect) na lengo la hiyo ilikuwa kupima uwiano wa akili yako na jinsi utakavyoonekana.
 
Kweli me mbaya kwani si unaona hata sura yangu hapo? Kwanza nshazeeka na sidhani kama naweza kuwa mzuri, but maadam umeelewa.
Cha kushangaza zaidi ya waliopitia kusoma bila comments kwa uzi huu wanaonekana idadi yao ila wamesoma na kupita na hata hizo errors wameziona 囧

ali/uli mu??

kama uli basi we mbaaaaaaaayaaaa
 
Naam, mimi si Mtanzania, wala huna haja ya kukisia. Nimelisema hilo zamani sana, mimi ni Mtanganyika.

Leo Rais hafanyi kitu kupitia wazee wa Dar. Tunategemea Jumatatu ataongea na kutangaza baraza jipya la Mawaziri.

Akili yangu ni yangu na yako ni yako na ukubali akili yako ilikuwa haina uwezo wa kurekebishwa makosa. Sasa, baada ya kukurekebisha naona umeamuwa kuachana na lugha ya Malkia na kuanza kuhororoja Kiswahili. Unafanya vizuri na somo limekuingia.

Kumbuka; Ukiona imekuuma ujuwe imekuingia.
 
Kweli me mbaya kwani si unaona hata sura yangu hapo? Kwanza nshazeeka na sidhani kama naweza kuwa mzuri, but maadam umeelewa.
Cha kushangaza zaidi ya waliopitia kusoma bila comments kwa uzi huu wanaonekana idadi yao ila wamesoma na kupita na hata hizo errors wameziona 囧

Kamanda acha ujuaji mwingi usio na maana yoyote.., hlo ulilofanya ni Kosa dhahiri kubali kukosolewa kosa lako na maisha yaendelee.., la sivyo kuendelea kushupalia kosa lako utakua Ujuha !!
 
Thierry Henry was special; especially is here.

What makes him special? He has a mixture of physical talent and technical ability, as well asremarkable intelligence and above all a great passion for the game.”
 
Unajua vyema kama ni type error. Kiherehere ni wwe unayesoma mpaka nukta na unawashwa kusema tu.
Mengine sio ya kusema

= Typing error.

Type haifanyi makosa, makosa yanafanywa na anaefanya typing. Kumbuka hilo.
 
Kati ya wachezaji waliopewa handsshake appreciate thanx naona jamaa kwa wakati wake amehit.
nasubiri kuona David Beckham itakuwaje.
 
Kwa kweli ni nidhamu ya hali ya juu nampa hongera sana.

Hakuleta vioja kama wakina SUAREZ, BALOTELLI na wengineo ambao uwezo wanao tatizo utovu wa nidhamu wanapokuwa uwanjani
 
Back
Top Bottom