Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

Mungu wangu ni huyo iruwa , ila sitaki kuhojiwa mkuu.
 
Kutokuwezekana ulikodai ni based on personal experience au logical proof?

Kutokuwezekana kwa Allah si kutokana na experience, bali ni logic: kila kiumbe contingent kina chanzo, msururu hauwezi kuwa usio na mwisho, hivyo lazima kuwe na Necessary Being – Allah, hajaumbwa, hana chanzo, msingi wa kila kitu.
 
Mkristo kupingana Muislam kuhusu Allah silijui hili.Kitu kimoja wanachokubaliana ni kwamba kuna Mungu(awe ni Allah au God inakuwa ni mada nyingine)

Kitu ambacho wote wanaosema Mungu yupo na wakataka kuprove wanakosea pakubwa(misingi ya theology haina sehemu ya kuprove,hizi wanaita revelations hazina proof but zinakupa tu mwanga kuwa kuna nguvu ya ziada ambayo iko nje ya uwezo wa binadamu)

Neno God limekuwa introduced(coined) kwenye language na watu religion kupitia vitabu vyao ambavyo misingi yake ni faith.Ukitaka proof yoyote tayari unakuwa against na hiyo misingi yao, maana yake ni kwamba tayari unataka kudevelop discipline nyingine(Unakua atheist si ndio?sasa atheist unapinga vipi kwamba Mungu hayupo wakati walioleta hii concept wamekwambia wako guided na faith and not reasoning(philosophy) or observation and experimentation(science)).
 
Yes, theists claim God, but not because we cannot understand something (divine fallacy).

We claim Allah not as ‘I can’t explain it, therefore God did it,’ but because the world and every contingent being must have a cause.
Why are you making exception to God?

If everything must have a cause, even God must have a cause.

If cause is necessary to World then it must be necessary to God.

NO EXEMPTION.

Exempting God from having a cause then emphasizing that, the world must have a cause, it's a logical fallacy called, Special Pleading Fallacy.

The special pleading fallacy is an informal fallacy where someone applies a double standard, invoking a universal principle while arbitrarily claiming an exception for themselves or a specific, preferred case without justification.

It is a form of rationalization used to avoid admitting a claim is false or to exempt oneself from rules.
Allah is a Necessary Being – uncreated and without a cause.
This is special pleading fallacy.
This is not an assertion without evidence, but reasoning based on the philosophy of ontology.

Rejecting this reasoning because you lack faith or physical proof is not proof of Allah’s nonexistence.
Special Pleading Fallacy.
 

Faith-based religions don’t claim physical proof; demanding it misunderstands their premise. Lack of proof isn’t proof of nonexistence, it’s ignoring the discipline theology is built on – guidance, not experimentation
 
Kiranga fallacy statement sehemu ambayo hakuna nyumba huwezi thib
Kwahiyo wewe kijana wa kikristo umekengeukia ukubwani? Si ndio?
 
Wanaokujua wanasema hadi mafuta ya upako unayo sasa tukuamini wewe au hao mnaokuwa nao kwa mwamposa?
 
The absence of evidence is not the evidence of absence
 
God is a metaphysical reality; faith, reason, and revelation are the tools to understand Him.

Expecting physical proof is a category error – science and theology operate in different domains.
Reasoning does not lead someone to understand God.It poses questions which no one can tell their answers.

Revelations do not prove on existence of God but only tell about power existing beyond this universe.

It is only faith that believers rely on and faith can't be used to prove on existence of God.

Yes,God does exist but you can't prove it or deny it.
 

God isn’t exempted—He is a Necessary Being; contingent things need causes, but the uncreated foundation of all existence needs none
 

Reason alone cannot fully grasp Allah; it raises questions beyond human comprehension.

Revelation shows His power and guidance, not empirical proof.

Faith (iman) is the foundation for belief.

Allah exists, but His essence cannot be proven or denied by human reasoning alone.
 
Wewe unayejidai unatumia akili yako unashindwa nini kujibu hoja ?? umebaki kulalamikia chartgtp ?? si uwende huko au ulipigwa ban
Kila mtu angefanya hivyo jukwaa lingekua linaendeshwa na maroboti sasa, AI mwenyewe kagunduliwa na watu yeye huo uthibitisho wa uwepo wa Mungu atautolea wapi sasa?
 
God isn’t exempted—He is a Necessary Being; contingent things need causes, but the uncreated foundation of all existence needs none
Contingent things ni "Man-made things" only.

Man-made things ndio vinahitaji cause. Kwa sababu haviwezi kujiunda vyenyewe.

Lakini sisi binadamu na viumbe wengine tunazaliana wenyewe kwa wenyewe. Hatuumbwi na wala Hatuundwi.

God is not necessary.

We are self-existing.

We don't need God to exist.

Humans aren't contingent.
 

Humans reproduce, but we are contingent; only Allah is truly self-existent and uncaused.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…