THI Yaibwaga NSSF Mahakamani

Ni vema kuwa hiyo eviction order imesitishwa, lakini THI wafuate na kutimiza makubaliano yao ya kulipia pango.
 
Msavila eviction order haikusitishwa haikuwepo kisheria, na THI hawawezi kwenda kulipa wakati wana kesi mahakamani. Kwanini usitake kesi iishe kwanza hadi rufaa zake? Ndio utawala wa sheria huo.
 
Ni vema kuwa hiyo eviction order imesitishwa, lakini THI wafuate na kutimiza makubaliano yao ya kulipia pango.

Yeah, THI wako resiponsible kutimiza makubaliano waliyoingia na NSSF hapo awali. Why should THI be given preferential treatment wakati kuna taasisi chungu nzima bongo ambazo ziko kwenye dire situation zaidi hata ya hao THI lakini bado wanaheshimu makubaliano waliyowekeana na landroads wao.

I don't see any reason why This guy [Dr. whatever] should be rewarded for his failure to understand [kabla hajaingia mkenge wa kukodi pango asiloweza kulipa] that Tanzania is no longer in ujamaa era.
 
Gustanza, ndio maana kuna kitu kinaitwa mahakama. Kwanini hakulipa mahakama itaamua na kuona kama kuna sababu ya msingi. Malipo yanaendana na mkataba, NSSF ikifanya hivi THI itafanya vile. Sasa endapo mmoja anasema ametimiza sehemu yake na mwingine anasema si kweli, mahakama inaingilia kati ili kuamua kusiwe mtu wa kuonea kati ya NSSF au THI. Naona wewe unataka THI waonewe bila kujali kuwa kuna kesi ya msingi mahakamani. Kwa hiyo walipe tu wafute kesi na wakubali makosa yaishe ndicho unachopendekeza?
 
Will the waiting take long as the EPA report? I hope not! Bado tupo

Mzeeba...akili yako usiiweke kama wasomaji wa magazeti ya Shigongo..ambao wameziweka akili zao rehani kwa shigongo..on the so called itaendelea wiki ijayo....
 
Mzeeba...akili yako usiiweke kama wasomaji wa magazeti ya Shigongo..ambao wameziweka akili zao rehani kwa shigongo..on the so called itaendelea wiki ijayo....

Duu mzee nilikuwa sijaiweka hivyo.. na haiko hivyo hata kidogo!!!. Unapongojea habari moto, muda huwa jambo la muhimu sana. Natumaini hilo sio sawa na hizo akili unazo zungumzia.
 
Serikali hii ya kifisadi ili guarantee TRL 4 bil, Shirika la Kifisadi la Sukita 10 bil, Chrisant Mzindakaya MajiyaTanga 7 bil, iweje ishindwe kugarantee 2 bil kwa maslahi ya wananchi maskini walipa kodi wa hii nchi? Hakika ni ufisadi kwenda mbele na hata rais na mawaziri wake hawakujishughulisha kumaliza gogoro hili kwa maslahi ya umma. Hakika ni ufisadi kwenda mbele
 
hakuna lolote hapo zaidi ya timeout tuu,kesi iko pale pale na ukweli hawajalipa rent na lazima walipe ....cant wait THI liquidation ili liwe fundisho kwa wengine!
 
Back
Top Bottom