They want me to marry, but where are the men?

Statistically, the population is balanced; the number of men is nearly equal to that of women. Realistically, it should not be difficult for a girl to get paired. The bigger problem is expectations and perceptions. These are to be managed. Did you ever wonder how polygamy came into being?
 
Hawa akina "Rahabu" wasiopenda ndoa ila wanapenda wanaume wamekuwepo toka miaka milions iliyopita, ni mgawanyiko tu wa tabia na makundi katika jamii.
 
They want me to marry = they want me to get married (right?)!

Does the lady "marry" or "get married"?

Just asking!
 
una uhakika na unachokisema au unalipuka kama Makamba,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini?

Kuna msemo 'kuolewa ni bahati'. Hivyo usipoolewa utapungukiwa hiyo bahati na ukiolewa utakuwa umeongezewa bahati. Msemo mwingine 'kuolewa ni kutunza heshima' hivyo ukiolewa unapata heshima na usipoolewa huna heshima.
 
They want me to marry = they want me to get married (right?)!

Does the lady "marry" or "get married"?

Just asking!

Definition


marry verb ( MAN AND WOMAN )

pron-uk.png
pron-us.png
/ˈmær.i/
ussymbol.png
/ˈmer-/ v
<!-- End of DIV additional_header-->
<!-- End of DIV gwblock_h-->&#8226;
<!-- End of DIV sense-bullet-->[I or T] to become the legally accepted husband or wife of someone in an official or religious ceremony Men tend to marry later than women.
<!-- End of DIV examp -->Paul married Lucy four years ago.
<!-- End of DIV examp -->They don't have any plans to marry at present.
<!-- End of DIV examp -->
<!-- End of DIV sense_t after_bullet-->
<!-- End of DIV sense -->&#8226;
<!-- End of DIV sense-bullet-->[T] to perform the ceremony of marriage as a priest or official The couple were married by the Archbishop of Canterbury .
<!-- End of DIV examp -->
<!-- End of DIV sense_t after_bullet-->
<!-- End of DIV sense -->
<!-- End of DIV gwblock_b -->
<!-- End of DIV gwblock -->
<!-- End of DIV posblock_b -->
<!-- End of DIV posblock -->
(Definition of marry verb (MAN AND WOMAN) from the Cambridge Advanced Learner's Dictionary)
 
Kuna msemo 'kuolewa ni bahati'. Hivyo usipoolewa utapungukiwa hiyo bahati na ukiolewa utakuwa umeongezewa bahati. Msemo mwingine 'kuolewa ni kutunza heshima' hivyo ukiolewa unapata heshima na usipoolewa huna heshima.

Naamini heshima hailetwi na kuolewa,unaweza kuolewa ndio heshima yako ikashuka kabisaaa,na unaweza kuolewa na bwana ana kimavi hizo bakhti zote zikakimbia.ya nini shida wakati raha chungu nzima.
 
<form id="emailForm_recommend" method="post" action="/page/recommend/DailyNation/Features/DN2/They%20want%20me%20to%20marry%20but%20where%20are%20the%20men%20/-/957860/1090760/-/view/emailForm/-/n0j2otz/-/index.html"><table width="240" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td></tr><tr><td align="right">
</td> <td>
</td></tr> </tbody></table> </form>
PIX2.jpg


Feeling pressured into sex is not be the answer for you. The moment you step out could be the beginning of a totally different journey you would wish you never embarked on. Please do not forget that marriage is not everything. You can still live a fulfilled life, be productive and exploit your potential to the maximum as a single.

Kivipi? au kwa kutumia vivyaa vya ngono? au kwa kutumia chihuwahuwa? msisahau Mungu aliumba Mwanamke na Mwanaume kwa maana yake.
 
Lakini mbona naona una ring ya engagement? ama umekuwa disapointed? Ivue basi mama halafu endelea kuwa positive attitude na vijana, utapata wako tu. Ila usiwe na papara.
 
You are very Beautiful and Attractive my dear ( we Know that ) what is missing: time to tell you that, now Get ready and prepared
Thanks and God Bless
 
Kuolewa kwa mwanamke wa kitanzania ni heshima, me bado sijaolewa ila nawashauri wasichana wenzangu muolewe na mume bora si bora mume, usitafute pesa tafuta mapenzi ya kweli, thanx
 
Kuolewa kwa mwanamke wa kitanzania ni heshima, me bado sijaolewa ila nawashauri wasichana wenzangu muolewe na mume bora si bora mume, usitafute pesa tafuta mapenzi ya kweli, thanx
Wewe bado nungayembe, halafu unawashauri wenzako waolewe.......olewa wewe kwanza.
 
<FORM id=emailForm_recommend method=post action=/page/recommend/DailyNation/Features/DN2/They%20want%20me%20to%20marry%20but%20where%20are%20the%20men%20/-/957860/1090760/-/view/emailForm/-/n0j2otz/-/index.html><TABLE border=0 cellSpacing=0 cellPadding=0 width=240><TBODY><TR><TD>

</TD></TR><TR><TD>

</TD></TR><TR><TD>

</TD></TR><TR><TD align=right>

</TD><TD>

</TD></TR></TBODY></TABLE></FORM>
PIX2.jpg


Feeling pressured into sex is not be the answer for you. The moment you step out could be the beginning of a totally different journey you would wish you never embarked on. Please do not forget that marriage is not everything. You can still live a fulfilled life, be productive and exploit your potential to the maximum as a single.

Your collegue in the background does not seem to support you....by the time I write this she is in the middle of it all
 
Kautafiti kangu kanaonyesha wadada wengi wakianza kuaprochi umri wa miaka 35 na hawajapata wenza, wanapenda kusema hawana mpango wa kuolewa. japo wengi tatizo linakuwa hamna wa kuwaoa wa namna aliyokuwa anataka iwe. na ikikaribia miaka ya arobain ndo kabisaa kila akisikia ndoa ya mtu ina matatizo anajipongeza kwa kukosa mume akidai yeye alishtukia. Msituzingue hapa hakuna mwanamke asiyependa kuona wanawe wanaishi chini ya uangalizi wa baba na mama, na hakuna mwanamke asiye chukia maswali kutoka kwa wanawe wakiulizia baba yao ni nani? na hakuna mwanamke asiyependa kuitwa mama katika mazingira ya kuheshimiwa
 
sio vibaya mwanamke asipoolewa lakini ni vizuri zaidi anapokuwa ameolewa.

Ina maana asipoolewa na akawa anapatiwa kila kitu si atakuwa anazini maisha yake yote?

Do not encourage solitary lives. Its not natural, it is prone to deep psychological problems than you may think. And this is worse to women. Jitahidini mupate wabwana sio kujilwaza ooh single poa single poa tu kumbe sivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom